224Nassah Member Joined Nov 15, 2013 Posts 37 Reaction score 2 Dec 10, 2013 #1 Hivi matatizo ndo yanapunguza hela au hela ndo zinapunguza matatizo
sir mushi Senior Member Joined May 26, 2013 Posts 143 Reaction score 52 Dec 10, 2013 #2 ......................nimesahau, nkikumbuka ntakwambia
Sabung'ori JF-Expert Member Joined Jul 19, 2011 Posts 2,166 Reaction score 1,248 Dec 10, 2013 #3 ...ni kama panga na tupa...ukinoa panga kwa tupa,tupa inalika na panga linalika mwisho wasiku panga linaisha na tupa inaisha...
...ni kama panga na tupa...ukinoa panga kwa tupa,tupa inalika na panga linalika mwisho wasiku panga linaisha na tupa inaisha...
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 Dec 11, 2013 #4 Kwa sasa wewe una hela au matatizo?
I ISIMBA Senior Member Joined Feb 7, 2013 Posts 144 Reaction score 30 Dec 11, 2013 #5 Sabung'ori said: ...ni kama panga na tupa...ukinoa panga kwa tupa,tupa inalika na panga linalika mwisho wasiku panga linaisha na tupa inaisha... Click to expand... very true, ila kuna watoto wa mjini humu hawajui tupa labda ungewaelewesha kidogo...
Sabung'ori said: ...ni kama panga na tupa...ukinoa panga kwa tupa,tupa inalika na panga linalika mwisho wasiku panga linaisha na tupa inaisha... Click to expand... very true, ila kuna watoto wa mjini humu hawajui tupa labda ungewaelewesha kidogo...
K kufikirika Member Joined Nov 22, 2013 Posts 39 Reaction score 17 Dec 11, 2013 #6 Isimba,ID nzuri inanikumbusha kijiji nilichotoka
Gwangambo JF-Expert Member Joined Jun 30, 2012 Posts 3,637 Reaction score 1,208 Dec 11, 2013 #7 The versi- versa is true.
S smartmgabe Member Joined Nov 15, 2013 Posts 25 Reaction score 6 Dec 12, 2013 #9 kuku na yai kipi kilitangulia?
I ISIMBA Senior Member Joined Feb 7, 2013 Posts 144 Reaction score 30 Dec 12, 2013 #10 kufikirika said: Isimba,ID nzuri inanikumbusha kijiji nilichotoka Click to expand... umetoka kijiji gani wa-kufirika?
kufikirika said: Isimba,ID nzuri inanikumbusha kijiji nilichotoka Click to expand... umetoka kijiji gani wa-kufirika?