Mh. Zitto Naomba Feedback hapa ........!

Omutwale

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2008
Posts
1,429
Reaction score
1,053
Mh. Zitto mnamo 27th November 2010 15:10 ulituandikia haya:


Nina nia njema ya kujua maendeleo na mafanikio ya jitihada zako kwa mwaka 2011 kwenye Rural Growth, Gas and Petroleum sub-sectors and Leadership Ethics.
 
Atasema unataka kumhujumu urais 2015, na ataongezea ww umetumwa na maadui wake kisiasa
 
Mnafiki huyo atakupa nini?

Tuwe wavumilivu wa kuheshimu uhuru wa maoni na kujieleza. Kwa nini tunamhukumu mtu ilihali bado hata hajapanda kizimbani?

Atasema unataka kumhujumu urais 2015, na ataongezea ww umetumwa na maadui wake kisiasa

Maadui wa Zitto na nchi hii ni umaskini, ujinga, maradhi na ufisadi. Bahati iliyoje Omutwale simo kwenye hayo yote manne!

Unataka kwa zitto?.............sahau
NDIYO. Mbona hapa: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/91628-zitto-anataka-kusaliti-chadema-32.html#post1311691"alitoka shimoni" na kuja kujibu? au alikuwa Zitto mwingine?
 
Ninachoamini, mti mwema ndio unaopigwa mawe.
Zitto is a threat not only to u.....to whoever sleeps comfortably at night and dream of being famous by using other people's hard working..

Wewe na wenzio endeleeni kuchonga tu na endeleeni kuandaa majeshi ya kumkashifu Zitto na kuanzisha thread nyingi iwezekanavyo, lakini jamaa anakubalika na wengi, na unajua sauti ya wengi ni sauti ya Mungu.

Bado Zitto ana muda wa kutosha kufanya anayotaka kufanya.

God bless u Zuberi Zitto Kabwe.
 
zito anapenda sana Fedha, anahongeka kirahisi. abhabunge bhenshi bhi kigoma ntibhafishe umusimamo, twimbhuke ye Dr. Kabour alikuwa zaidi ya zito lakini alichotufanyia kwa magamba we acha tu!
Zitto elewa CCM hawana shukrani hata kidogo, wasikie wakubwa zako-utatumikaaaaaaaa weeeeee mwisho wa siku itaishia kuuwawa au kupotea kabisa kwenye siasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…