Mh. Zitto na Martin Luther King

Status
Not open for further replies.
Kitu cha kufanisha na (vigo)mnafananisha na mtu muhimu hivi.mnamkosea adabu sana luther
 

Safi sana na huu ndio ukweli
 
Kweli nimeamini mti mzuri ndio urushiwao mawe
 
Machache yapi? Au hizi kelele ndo unaona machache?

Mimi kila mwaka ninazaidi ya wanafunzi 100 ambao nawasaidia kufikia malengo yao ya maisha lakini si hizi kelele zisizokuwa na mwisho za hawa wanasiasa. Kwa hili taifa hili nalitendea mema zaidi ya huyo Kabwe wenu.
wewe kipi ulichofanya cha maana katika jamii>? si bora yeye amefanya hata hayo machache? goo goo zzk wewe ni Martin wa bongo
 
Wachagga wamechanganyikiwa.Mtu mmoja tu anawatoa jasho.Hana mali wala pesa,yeye ana Watu tu na msimamo usio yumba wa kupinga Ubaguzi.Ninacho omba mwachieni Uhai tu,kama CHAMA mfukuzeni tu.
 
Unataka.kusema.wauza matikiti wana.akili.ndogo? Uwe na adabu kwa.kazi za watu
 
Wachagga wamechanganyikiwa.Mtu mmoja tu anawatoa jasho.Hana mali wala pesa,yeye ana Watu tu na msimamo usio yumba wa kupinga Ubaguzi.Ninacho omba mwachieni Uhai tu,kama CHAMA mfukuzeni tu.
ubarikiwe
 

huyu huyu Zitto amesababisha kulewa kwa sheria mpya ya madini
huyu huyu Zitto kasababisha mkajua mkataba wa buswagi umesainiwa hotelin
huyu huyu Zitto kasababisha mmejua vyama vya siasa mahesabu yao ynafichwa
huyu huyu Zitto kasababisha watanzania wamejua wakubwa wamefivha pesa uzunguni.
 
DIV. 5. Unafikilia viroba nini?
 
Slaa amekaa Bungeni miaka 15 nani alikuwa anamjua??? mpaka ujio wa ZTTO alipoanza kulipua mabomu,yeye akamfwatisha,akaanza kutaja mafisadi pale mwembe yanga.ZITTO alisubutu na anapambana mpaka leo.
 
DIV. 5. Unafikilia viroba nini?

huna cha kujibu umekimbilia viroba,
hivyo viroba ndio lema anatumia kupata kura arusha
hivyo hivyo viroba ndio vilisabisha Lema aombe posho ya makalio iongezwe ili akawanunulie machaliiii viroba
 
Pamoja na support yote kutoka kwa pro CCM, Hili likitikea;

BREAKING NEWS: ZITO AJIUNGA CCM NA KUTANGAZA KUGOMBEA URAIS.

Yafuatayo yatakuja kwa kasi ya ajabu;
* Wale wote wanaomuunga mkono humu kutoka CCM watamgeuka na kumkashifu kwa vile tayari wana kambi zao za Urais
*Ataitwa majina yote mabaya na hao wanaomsapport sasa hivi kwani mission yao itakuwa imetimia.
* Hawakumpenda ili aende CCM bali ili avuruge Chadema maana uongozi wa sasa hauwezekani kununulika.
*Ni faida zaidi kwa CCM kwa Zitto kuwa Chadema kuliko kujiunga nao maana sera zake zitaivuruga CCM
*Ili kumtoa katika siasa watavujisha siri zake nyingi kimkakati na anaweza kupotezwa.

Mhe Zitto, zakuambiwa changanya na zako. Kwa nini wanakupenda sana lakini hawakushawishi ujiunge nao? Wao wanakushawishi ugombee uenyekiti wa Chadema? Waweza kuwa kijana mahiri na mwenye uwezo wa kutafakari mambo ila kama binadamu wakati mwingine kuna jambo laweza kukutia upofu hata mtoto mdogo akashangaa kwa nini hilo huling'amui?
 
Last edited by a moderator:
sijaona bogus kama wewe zito hawezi toka cdm nan wakumtoa mzee wa viroba ni mapangaj amtoe mwenye nyumba never happen
 
Slaa amekaa Bungeni miaka 15 nani alikuwa anamjua??? mpaka ujio wa ZTTO alipoanza kulipua mabomu,yeye akamfwatisha,akaanza kutaja mafisadi pale mwembe yanga.ZITTO alisubutu na anapambana mpaka leo.

ubarikiwe
 
sijaona bogus kama wewe zito hawezi toka cdm nan wakumtoa mzee wa viroba ni mapangaj amtoe mwenye nyumba never happen

Umeona jinsi ulivyoonyesha uwezo wako wa kufikiri au kutafakari ulichosoma ukoje! Rudi tena usome nilichoandika na ufikiri ni ujumbe gani upo hapo kabla ya kubwabwaja.
 

Hivi wewe na CCM wenzako wanaokuunga mkono katika hili ni lini mtaacha kupanda ubaguzi katika nchi yetu?
Dhambi hii na iwarudie na kuwatafuna wenyewe. Njia yenu iwe giza. Mfedheheshwe.
Acheni kufanya siasa za kijima zinazopanda ubaguzi katika taifa. Tuanze kufanya siasa za kushindanisha mbinu za kuleta maendeleo ya watu wa Tanzania.
Shame you!
 

Umeshamalizana na Kapuya?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…