Faizafoxy said:Ikiwa hiyo habari ndio kama ilivyo na huyo mzungu au sijui kabila gani, hajakutana na Zitto ku verify basi hiyo habari itakuwa haina maana kabisa. Ni porojo tu kama porojo zingine.
Maeneo yanayozunguka mgodi ni lazima yanufaike na migodi hiyo.How comes Geita to North Kigoma Hon Zitto?Kwa kuzingatia historia yako na Barrick haukuona kuwa hata kama ni kweli msaada wa kawaida utachukuliwa ni some sort of kukunyamazisha?
Zitto hana muda wa kujibu pumba zako.Sasa kulikuwa na ulazima gani wa kupeleka msaada kwenye jimbo lako ambalo liko km 600 kutoka mgodini ilihali kuna majimbo mengi tu Shinyanga hayana sekondari. Na mbona baada ya msaada huo umekuwa kimya sana juu ya sekta ya madini tofauti na kipindi cha nyuma. Je hilo halikuwa jaribio la kukunyamazisha.
Naomba majibu sahihi, halafu mkuu mbona hujibu maswali yangu?
Nimekubaliana na wewe kabisa na suala la kodi limekuwa msimamo wangu kwa muda mrefu. Mchango wangu kwenye Bajeti kuu na ile ya nishati na madini nilisema hili wazi kabisa.
The reference to 'ring-fencing' referred to the paper is the theory I explained to the researcher and it paid off as tulawaka declared profit last year.
I have acted very transparently is this matter, at arms-lenght. Nani kasema corporate social responsibility watu wa kigoma hawana haki nayo?
I have never benefitted personally to any gift given by Barrick or any other mining company in Tanzania.
I am happy msaada walioutoa umewezesha kijiji cha Mkabogo kukamilisha majengo ya shule na hivyo kuwafanya watoto wa kijiji kile na kata ya Kalinzi kupata elimu ya Sekondari.
Wanaotaka kulifanya hili jambo la kisiasa sitawazuia hata kidogo. Lakini naomba lionekane kwa picha pana zaidi. Hata hivyo kama ikithibitika nimefaidika kwa namna yeyote mimi binafsi, nitawajibika.
Frankly speaking. i will never believe this story. these/those people try to mudling our hero. never never. Mabeberu wana mbinu nyingi.
Semeni hivi: "Huyo mzungu katumwa na CCM na alikatiwa ticket na CCM kutoka alikotoka kuja kufanya thesis yake Tanzania na walimwambia nini cha kufanya na nani wa kumuona na pia alikuwa mgeni wa CCM kote alikotembelea" Nawashangaa sana kuwa hilo hamlisemi? Nangoja.
Ngoja niwape maujanja CHADEMA:
Ikiwa hiyo habari ndio kama ilivyo na huyo mzungu au sijui kabila gani, hajakutana na Zitto ku verify basi hiyo habari itakuwa haina maana kabisa. Ni porojo tu kama porojo zingine.
Zitto anachopost kwenye blog yake ni michango yake aliyoitoa bungeniMkuu I think the old Zitto is more effective... (hii nchi tulipofikia hatuwezi kwenda ki-diplomasia pekee..) bila kupiga kelele na kila mtu akasikia mambo hayaendi.., kwahiyo sioni tatizo la ku-fight on both fronts..., through media and anything at your disposal... Hivi vita haviwezi kushindwa kwa njia moja pekee..
Wengi we dont know that we dont know.... (hatujui kama tunaibiwa...) kwahiyo mnaojua inabidi mtuambia na mpige kelele na sio kwenye Blog pekee (sababu watanzania wengi hawana access na hii anasa ya internet).., kwahiyo mkuu please dont loose your character in the name of growing up...
SINA SHAKA SASA .Wewe ni Mbunge mjanja unajua kucheza na wakati kigoma ni mkoa uliopo nyuma kimaendeleo kama kuna fursa za wadogo na wajomba zako kufaidika kwa hali yoyote usikate tamaa. WAHA wanajua juhudi zako. umeme lami utapata. Nakumbuka ulipomkampenia Mh. VINCET NYERERE pale Musoma ulisema wabunge wajanja watainua majimbo yao. Huo ndio ujanja wa MASHIKO wabane wawekezaji wadogo zako wasome. KEEP IT UP ZITTO DONT GIVE UP.Sijawahi kupokea zawadi ya aina yeyote kwa kampuni yeyote ya madini.
Hata suala hili la CSR mimi ndio nilireveal kwa mtafiti huyu kuonyesha mifano ya miradi wanayotoa na kukosoa mtindo huu badala ya kulipa kodi stahili.
Nimekuwa wazi kabisa katika jambo hili. Sikushika hata senti ya fedha hizi. Nilikagua mradi huu na watoto wanasoma. Suala la kodi katika sekta ya madini ( ambalo nimeliandikia katika dissertation yangu ya Masters of Law and Business Bucerius Law School, Hamburg) ni suala ambalo nimeendelea kulisemea kila wakati.
Hoja zangu Bungeni zinapatikana katika blogu yangu Zitto na Demokrasia
Mkuu msaada kweli ni msaada tu hauna haki.Na ninajua kuwa migodi na rasilimali zingine ni lazima zinufaishe taifa kwa ujumla wake.Sipingi mgodi wa barick kusaidia jimbo la kigoma kaskazini kwani ni Tanzania pia.Concern yangu ni kwa kuzingatia historia ya zitto na barick zitto hakuona kuna kuonekana kama ananyamazishwa hata kama sio kweli?@Ziitto
Nini kilichokusukuma kundika proposal kwa kampuni hiyo na Siyo NSSF, TBL, au VICfish ?
Yaaani hii karne ya sasa ya sayanasi na teknolokia bado unaongelea mambo ya kukutana.kule kwa zamani ???!!!!!W atu wanakutana vitrutaly through phone,skype,mail facebook twitter etc. Zitto mwenyewe kaandika aliongea naye
Mkuu sio kwamba kama mgodi uko geita basi hautakiwi kuwanufaisha watu wa kigoma . Huo ni ufinyu wa mawazo. Na siyo kwamba GGM wakita kakutoa msaada lazima wautoe geita. GGM inaweza kutoa sehemu yeyote ya tanzania 'msaada'
Vile vile elewa msaada hauna haki. Usidhani msaada uliotolewa Kigoma ni haki ya Geita. Wanachotakiwa hawa kina zitto ni kukomalia na kukwepa kuonekana omba omba. Ingawa kwa mkoa wa kigoma I can feel soory for ziito. Maendeleo ya mkoa yanachochea kufny mbunge kuwa omba omba... na serikli ndio hivyooooo Sio ya Chama chake
<br />
I think somehow i could have done the same but in different way
Maadam umesema mwenyewe hii habari ni ya kweli, imekuwaje msimamo wako kuhusiana na Buzwagi kwa sababu nachoelewa mimi ni wewe uliyepinga mkataba huo kwa sababu ulisainiwa hotelini London. Mkuu wangu, hawa Barricks wamelipa ruzuku kiasi kidogo sana sawa na kodi ya mishahara ya wafanyakazi wake, leo kuongeza asilimia moja toka 3 kwenda 4 inawaziba midomo? at ndio win win sitruation?...Na of that how much Sinclair anavuta?..Halafu mkuu wangu lengo la wewe kusimama bungeni ilikuwa kuonyesha kwamba mkataba ule ni haramu, batili imekuwaje hadi ukabadilisha msimamo wako against Barricks na mkataba wa Buzwagi kiasi kwamba inaonyesha unakubaliana na hatua mlizozichukua kuberesha uwekezaji wa madini nchini na sii tena swala la Buzwagi kama vile mmelifagilia uvunguni!?.. Nataka kuelewa wewe umesimama wapi kama mbunge na huu mkataba wa Buzwagi..Barrick found Kabwe much less confrontational than observers expected when MPs were drafting the new act. "During the writing of the new law, we worked together so well because we had to create a win-win situation," says Kabwe. "So the enmity between us had to end."
Under the 2010 mining law, companies have to pay royalties of four per cent on gold exports, up from three per cent. Also, the government is to hold shares of all new foreign-owned mines. Barrick's mines are exempt from both rules, because the new law doesn't apply to Tanzania's existing mines.
Kabwe, last year was re-elected and now Tanzania's go-to mining expert, doesn't criticise the result. When the 2010 Mining Act was passed, hKabwe told Reuters "it might send a negative signal to investors and might impact foreign direct investment. I'm worried on that." Barrick doesn't criticise it either. When the legislative dust settled, both were victors. Barrick averted extra expenses at its mines. Kabwe became popular nationally and in his own district. They found their "win-win situation."
FaizaFoxy, Zitto kajibu vizuri sana kuwa 'mtafiti' wa hii habari aliwasiliana naye na Zitto mwenyewe alimpa majibu kwa maswali aliyouliza. Huu ushauri unatoa hapa hauna maana hata kidogo na inaelekewa hukuchukuwa dakika chache kusoma comments kwenye hii thread kabla hujaandika. rubbish!