Mh. Zitto Kabwe ni wa kupuuzwa

Mh. Zitto Kabwe ni wa kupuuzwa

Noti mpya tz

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
974
Reaction score
247
Nimesoma maoni ya Mh. Kabwe kuhusu Ukawa ambapo amesema ni wasaka tonge tu...
binafsi namfahamu Zzk kama mtu anaependa sana tension ya wananchi na media, niseme wazi kuwa sikutegemea maoni ya namna hiyo kitoka kwa mtu aina ya zzk na baada ya kusoma maoni hayo nilijiuliza kama ni yeye kaandika au kuna watu wame hack akaunt i yake ya facebook. Lakini ni zaidi ya masaa 24 sijaoni akikanusha kitu ambacho kinanidhihirishia kuwa ni yeye kaandika.
ni zz huyu huyu alikuwa akihubiri umoja na mshikamano ili kuiondoa ccm na huyu huyu alikuwa akipigania umri upunguzwe ili agombee urais, najiuliza amekuwaje?
Kuna kitu kinamtafuna ndugu yangu huyu na si muda mrefu kitamuacha wazi....

Niseme wazi... Sikutarajia kabisa mambo yaliyomkuta cdm kumhusisha Mwigamba maana nilikuwa na imani sana na mtu huyu.

tumpuuzen zzk ili tuendelee....
Noti
 
Zitto.jpg

Hivi kweli watu wakufanye hivi halafu uwapende?
 
Mleta uzi napenda kuku correct , zito kabwe hana uheshimiwa wowote ule. ..ni kibaka na fisadi papa.
 
Uongo kauli ya kitambo sana na ilihusu tukio fulani.
 
Hana jipya huyo amekwisha kisiasa

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
ZZK amenifanya niwe conscious katika ku deal na wanasiasa limekuwa funzo kwangu, ninafikili kupitia experience hii nitakuwa mwangalifu sana katika kumwamini mwanasiasa, huyu jamaa ni bonge la msanii wa siasa na si muda mrefu hata kukoment mawazo yake itkuwa nadra sana.
 
----- tu af keshachambia mgomba arudi Kigoma akale migebuka shetwani rajun!!!
 
idiot mkubwa hana hayaa wala aibu yake,,,pliz mpuuzeni huyu shwetani asiyekuwa na roho ya ubinadamu hata chembe.
 
Back
Top Bottom