Mh. Zito rudi Kundini!

Mh. Zito rudi Kundini!

Sasa mnataka na Zitto nae awe mropokaji tu kama kina Lema au? Maana ni wazi wanasiasa wengine wa CDM wako tu kwa ajili ya vichwa vya habari na kuongea pumba ilimradi aongee tu na kuonekana ama wanapinga CCM hata kama hoja hazina maana. Zitto katulia kama unataka kufutilia mambo yake yupo twitter na facebook vilevile, kijana anafanya mambo kwa umakini sio kutafuta sifa kama wengine.
 
MODS SPECIAL REQUEST NAOMBA FREE STYLE NA MOLEMO NIKIONGEA NAWEZA KULA BAN KWA LEO TU JUMATATU!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Watz wenzangu lazima tujue kwamba democrasia ya kweli haiji kwa kubaguana na kuwatenga baadhi kwa ajili ya kupata maslahi binafsi. Nani asiyejua kuwa akina fulani wamejenga magorofa kariakoo kwa fedha za ruzuku ya chama na kutaka kuhodhi kila kitu ili waendelee kunufaika? Lazima tukubali kuwa bado tuna matatizo na baadhi ya viongozi wetu na kwamba kama tutategemea kuwa hao ndio wasafi tutakuja kufa kwa presha baada ya kujua yale waliyofanya kwa ubinafsi wao.
Mwacheni kaka yangu zitto afanye siasa safi bila kuingiliwa, mbona anapotangaza kuwania nafasi fulani anazongwa zongwa na mikwara kadhaa ya kutaka asipate nafasi hiyo.
Kaka yangu zitto endelea na kazi zako zenye umakini nami nakuombea ufike mbali katika siasa zako.
Mungu ibariki tz mungu wabariki na watu wake.
 
We kofongo Jina la kwanza la shibuda Ni zito? Akili ya Kwakiutl changanya na ya bata!
Ilikuwa inahitaji upeo mpana kunielewa nilikuwa namaanisha nini.
Kama kilaza utaishia kujibu kama ulivyojibu wewe.
 
Back
Top Bottom