Mh! yataka moyo.

Kaka zetu mnatafutaga pesa kwa shida saana wengine wananusurika kufa lakini mkituona tu mnasahau! Mnahonga au matumizi yasiyo na maana. Jihurumieni
 
dah huyu jamaa hajionei huruma....angetafuta hata kitu cha kuziba mikono....
 
anasafisha choo ili na yeye wanawe waweze kupata choo.
 
Mbona hujatoa hadhari.......aaaaaaaaaagahhhhhhhhhhhhhhh
 
naona vitu virefuvirefu kama kete................au ndio walewale?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…