Mh! yan adi aibu

Mussa kiraka

Senior Member
Joined
Mar 4, 2012
Posts
106
Reaction score
13
Mambo vipi? wana nimeingia kitambo bila hodi lakin nashukuru cjamkuta mtu anavaa. je ungekua upo uchi na me nimeingia bila hodi ungenikaribisha?
 
Kwani nani asiyeujua uchi?
Na ukiuona kwani unanitoka?
Haaaa mbona tunapokuwa na wapenzi wetu tunakuwaga uchi?
Ungekaribishwa tu
 
Wala nisingekukaribisha tena ungekula viboko sita hadi nane vya nguvu vya utovu wa nidhamu. By da way karibu sana JF.
 
Hahahahaah!! Nisingekukaribisha labda popobawa..! Karibu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…