Mh Wenje ndani ya Dakika 45 ITV

Mh Wenje ndani ya Dakika 45 ITV

Mawingi

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2013
Posts
213
Reaction score
44
namskiliza hapa anaongea vzr unafaa kua waziri kivuri wa mambo ya nje.

Namsikiliza waziri kivuli wa wizara Mambo ya nje. Anaongea kwa hoja kama mtangulizi wake Mch. Msigwa. Cha msingi nilichoshika hapa ni kwamba Tanzania inashindwa kufanya maamuzi ya ushirikiano wa Afrika Mashariki kwa kuwa tuko SADC pia. Kwamba hatuwezi kuweka sheria na taratibu zitakazoridhisha mashirikisho yote mawili.Hatima yake ni nchi yetu kusasua na mwishowe kutoa majibu mepesi kwa hoja nzito. Kwamba tunangoja talaka. Kwamba sisi ndio tumeoa. Hoja ni kwamba mbona hatuendi sambamba na wenzetu katika kufikia malengo tuliyojiwekea? Mfano vitambulisho, VISA, n.k. Nchi yetu inaonekana ikipinganani na jirani zetu kwenye kila hoja kisha inakuja kulalamika kuwa tunatengwa.

Viongozi wetu hawa wasituaminishe kwamba tunatengwa bali tunajitenga kwa kuwa tunashindwa kuamua tumtumikie bwana yupi; SADC au EAC.

Huyu WENJE ni MKENYA au MTANZANIA? namsikiliza hapa ITV, jamani ni aibu kwa taifa, hakika hawa ni watu tulionao wanaoweza kuikana nchi yao hivi hivi.

Anaita Kauli za MAWAZIRI, SITTA na MEMBE kuhusu ushiriki wa Tanzania katika EAC kuwa ni matamko ya hovyo hovyo. Hivi WENJE alitaka Tanzania ijikombe kwa WAKENYA, WAGANDA, na WANYARWANDA ili iweje? huyu ni mtu wa aina gani? Hivi ni kweli WENJE hajui chanzo cha Mawaziri hao kutoa matamko hayo? mbona hakupendekeza tangu zamani nini kifanyike pale KAKAGAME alipouona ushauri wa JK kuwa ni upuuzi? WENJE hana habari kuwa hizo nchi anazoziona kama hazina matatizo zimekuwa zikfanya vikao bila kuishirikisha Tanzania? JAMANI naipenda sana TANZANIA na kamwe siwezi kuwa na akili mbovu kama ya WENJE ya kuivua nguo nchi yangu kiasi hiki.

WENJE asifikiri anawashambulia MEMBE na SITTA bali anajidhalilisha yeye kama Mtanzania, anatudhalilisha watanzania ambao tuko tayari kuifia nchi yetu na analidhalilisha taifa la Tanzania kwa ujumla.
 
tumezidi kushabikia ujinga, kuna uzuri gani anaoongea WENJE? anaivua nchi yake nguo na kuonekana haifa, yule lazima atakuwa MKenya.
 
Wenje anamwaga mboga na ugali hapo hapo .Wacha tumsikilize .

Kama watu kama kina WENJE ndo wanategemewa CHADEMA, basi chama hakina watu, hivi anachokisema anaikiri anawafurahishwa Wakenya au Watanzania?
 
kumbe wewe una hitaji kufurahishwa si kuambiwa ukweli.
 
tumezidi kushabikia ujinga, kuna uzuri gani anaoongea WENJE? anaivua nchi yake nguo na kuonekana haifa, yule lazima atakuwa MKenya.

ushabiki gani mbona anasema mazr ya nayohusu taifa sio majibu mepes kwa maswali magumu
 
tumezidi kushabikia ujinga, kuna uzuri gani anaoongea WENJE? anaivua nchi yake nguo na kuonekana haifa, yule lazima atakuwa MKenya.

Unataka tuaminishwe na ujinga wa Ma CCM kila siku ? Ndiyo ukweli huo mchungu ma CCM yalitaka mkuficha sasa kazi kubwa mbeleni kila mara watakuja hapo kumwaga maneno .Saga chupa unywe na maji vipande vile .
 
tumezidi kushabikia ujinga, kuna uzuri gani anaoongea WENJE? anaivua nchi yake nguo na kuonekana haifa, yule lazima atakuwa MKenya.

Yaani MTU akiwaza tofauti na wewe tu; unamtafutia uraia wa nchi nyingine. Ruhusu akili yako iwaze juu ya hapo kidogo.
 
Kama watu kama kina WENJE ndo wanategemewa CHADEMA, basi chama hakina watu, hivi anachokisema anaikiri anawafurahishwa Wakenya au Watanzania?

lumumba inakuharibu wewe
 
tumezidi kushabikia ujinga, kuna uzuri gani anaoongea WENJE? anaivua nchi yake nguo na kuonekana haifa, yule lazima atakuwa MKenya.

kajenga hoja kwa data juu ya Kenya na uwekezaji mojawapo ni Uchumi supermarket haya kuna nini cha Malawi ? Zimbawe au Namibia ?Mpinge kwa ushahidi yeye kaja na ushahidi .
 
Huyu WENJE ni MKENYA au MTANZANIA? namsikiliza hapa ITV, jamani ni aibu kwa taifa, hakika hawa ni watu tulionao wanaoweza kuikana nchi yao hivi hivi.

Anaita Kauli za MAWAZIRI, SITTA na MEMBE kuhusu ushiriki wa Tanzania katika EAC kuwa ni matamko ya hovyo hovyo. Hivi WENJE alitaka Tanzania ijikombe kwa WAKENYA, WAGANDA, na WANYARWANDA ili iweje? huyu ni mtu wa aina gani? Hivi ni kweli WENJE hajui chanzo cha Mawaziri hao kutoa matamko hayo? mbona hakupendekeza tangu zamani nini kifanyike pale KAKAGAME alipouona ushauri wa JK kuwa ni upuuzi? WENJE hana habari kuwa hizo nchi anazoziona kama hazina matatizo zimekuwa zikfanya vikao bila kuishirikisha Tanzania? JAMANI naipenda sana TANZANIA na kamwe siwezi kuwa na akili mbovu kama ya WENJE ya kuivua nguo nchi yangu kiasi hiki.

WENJE asifikiri anawashambulia MEMBE na SITTA bali anajidhalilisha yeye kama Mtanzania, anatudhalilisha watanzania ambao tuko tayari kuifia nchi yetu na analidhalilisha taifa la Tanzania kwa ujumla.
 
tumezidi kushabikia ujinga, kuna uzuri gani anaoongea WENJE? anaivua nchi yake nguo na kuonekana haifa, yule lazima atakuwa MKenya.
Ukisikia maweeeeh ujue limegonga kunako..
 
Wenje mwenyewe asili yake Kenya unadhani atasemaje.

Kuna Mtanzania anaitwa Wenje.

Wakazi wa Mwanza wameishamchoka.
 
Aisee, KAKA naweza kuamini kabisa, huyu jamaa anaongea tena bila aibu kuwa viongozi wa Tanzania ndiyo wana makosa anashindwa hata kuelewa tatizo limeanzia wapi mpaka kufikia viongozi kuona haja ya kutoendelea kuwang'ang'ania watu wasiyo na mwelekeo. kumbe ndiyo maana hata wananchi wa NYAMAGANA hawana hamu tena na WENJE, jamaa ni mweupe kweli kweli.
 
Nimemsikiliza Mh. Wenje na hakika nimeridhika na ueledi wake hasa katika mambo ya ushirikiano wa kimataifa. Ame m-quote mkapa kwa kusema Tanzania inahitaji dunia kuliko dunia inavyohitaji Tanzania. Hii ina maana Tanzania inahitaji EA kuliko EA inavyohitaji Watanzania.

Nimekua nikikwazika sana na Michango ya members hapa hasa kuhusu mtazamo wao hasi kuhusu jumuiya ya east africa.

Ninachotaka kuwaambua ni kuwa serikali ya ccm inatyingiz chaka, ea ni muhimu kwa afya ya uchumi wetu. Huu siyo wakati wa kupinga uwepo wa wachina kariakoo, ni wakati wa kushirikiana na kila aliyetayari ili kujenga uchumi. Thanks wenje
 
EAC inayohitajiwa na Watanzania, haiwezi kamwe kuwa ile ya akina KAGAME.
 
Back
Top Bottom