Kwi!kwi!kwi! magamba oyeeee!Wakati tukisubiri uteuzi wa baraza la mawaziri wetu toka kwa mheshimiwa Rais na kama nilivotupia uzi humu kuwahusu waheshimiwa Mwigulu, Kange na Filikunjombe kuwa na uwezekano mkubwa wa kuwa mawaziri, mwingine mwenye sifa hiyo kwa sasa ni mheshimiwa alhaji Juma S. Nkamia katika wizara ya utamaduni.....
athari za viroba vya mchana
Wakati tukisubiri uteuzi wa baraza la mawaziri wetu toka kwa mheshimiwa Rais na kama nilivotupia uzi humu kuwahusu waheshimiwa Mwigulu, Kange na Filikunjombe kuwa na uwezekano mkubwa wa kuwa mawaziri, mwingine mwenye sifa hiyo kwa sasa ni mheshimiwa alhaji Juma S. Nkamia katika wizara ya utamaduni.....
Nasema hivi, kama nkamia atakiwa waziri, nabadilisha uraia nitakywa na uraia wa malawi.ila kama kulimunjombe atakywa waxiri nitampa big heko kikwete