Wakati mwingine 1. acha ujinga, 2. Sugu ni baba yako? pumbafu sana wewe huna lolote, iko siku 3. akisema usimwingilie mke wako mpaka aseme tena endelea! we acha kusikiliza maisha yako yote kwani Clouds unafikiri 4. utakuwa umewakomesha! acha ulimbukeni, wewe unaonekana 5. huna uelewa kabisa natamani ungekuwa karibu 5. ningekuzaba kibao ulie, hivi mkeo ikitokea akasoma huo ujinga wako 6. atakuonaje?!!!!!!!!!1
Ina maana Sugu na Wenzie ilikuwa nguvu ya Soda..?
wale wenzie walikuwa wanatumika... sugu alikuwa na ugomvi wa kibinafsi na ruge !! vinega shilingi elfu tano tano za sugu na bia mojamoja zikawatoa fahamu.. wametumika sugu kawachoka kawaacha njia panda ..
Nimeikubali hiiwafuu fmmmmm itabaki kuwa radio ya wafu tu no matter what....
wafuu fmmmmm itabaki kuwa radio ya wafu tu no matter what....
Sugu Motochini @Kitangomajamaa akaimbaga wimbo huu Mr II Sugu - Wanakwita sugu | Muziki.net kumbe hata si sugu kweli kwa muelekeo wake :angry: