Mbunge wa MBEYA MJINI,MH.JOSEPH MBILINYI,jana amebarikiwa kupata mtoto wa kike alompa jina la SASHA-DESDERIA,na mama wa mtoto huyo anaitwa FAIZA.. View attachment 66551
Pongezi za dhati kwa mh.sugu na mkewe,mwenyezi mungu awajalie malezi mazuri kwa mtoto na twamkaribisha sana bintiye ktk ulimwengu huu wenye kila kadhia.