Mh Sugu aiteketeza CCM Mbeya Mjini

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,703
218,238
Tulionya mapema sana kwamba huyo mfadhili wa ngoma za asili aitwaye Tulia atawachuuza wenzie , hatimaye yametimia .

SUGU AITEKA NSALAGA MBEYA  Mbunge wa Mbeya Mjini ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati .jpg
 
Amos Makalla alichemsha ndio awe huyu mshamba mlima njegere wa Tanangozi ?
naona sasa umeona muziki wa huyo wa Tanangozi unayemwita mshamba CCM imeshinda mbeya mjini kwa huyo mnayemwita raisi koko wa mbeya ,Huyo wa Tanangozi ni muziki mwingine usimfananishe na Makalla,Mshamba wa Tanangozi kamtoa knock out mtoto wa mjini Sugu.
 
Wizi wa kura si ushindi niliyouzungumzia , Kwa mfano kata ya mwanganyanga Kyela , Chadema ilishinda vituo vyote , lakini mgombea wa ccm ndiye alitangazwa mshindi .
 
naona sasa umeona muziki wa huyo wa Tanangozi unayemwita mshamba CCM imeshinda mbeya mjini kwa huyo mnayemwita raisi koko wa mbeya ,Huyo wa Tanangozi ni muziki mwingine usimfananishe na Makalla,Mshamba wa Tanangozi kamtoa knock out mtoto wa mjini Sugu.
Tofautisha kati ya ushindi na wizi ni vitu viwili tofauti, bila polisi hata umonita wa darasani hamupati.
 
Back
Top Bottom