mh. Sugu afunika kwenye mkutano Kyela

mh. Sugu afunika kwenye mkutano Kyela

ndevu mzazi

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2011
Posts
687
Reaction score
238
KYELA 3.jpgaliongelea mambo kadhaa ikiwemo yaliyojiri bungeni.sugu kwa hali hii anazidi kuwa mkubwa kweKYELA 1.jpgKYELA 2.jpgnye siasa za mbeya
 
Sugu moto chini, mpaka kieleweke.
Magamba kutoka mukama hadi mzee wa ndovu, mwigulu hadi mchina na sasa tutarajie al shabab.
Peoplesssssss!
 
kila lakheri; nyota yake kisiasa inazidi kung'ara; wana-Mbeya wameamua kuungana na wana-Arusha; Mwanza na Shinyanga nao wako mbioni
 
Hii ilikuwa itezi uyole mbeya, mimi mwenyewe nilihudhuria japo ni mwanaccm. Kijana huyu ni moto chini na wana mbeya wanamkubali ile ile. Kweli magamba tupo pabaya.

Magamba wenzio wataku tindikali kama unasema hivyo kaka, huwa hawamjui adui yao wale.
 
Mh Sugu,imbombo inogile.tunakutegemea kaka Sugu,yasambaratishe hayo magamba.wewe ni tumaini letu
 
Back
Top Bottom