Mh Slaa apanda chati na avunja Rekodi

kumbe ndo maana ukapewa jina la zawadi..kwa hiyo sishangai hata kwa hizi comment zako..Wewe uko CCm na mgombea wenu anshinda kwa kishindo sasa unawashwa nini..kaa utulie

Ni kosa zawadi kuwa CCM? unaturudisha enzi za chama kimoja. Ndugu hizi ni zama za vyama vingi kila mtu na chama chake. shawishi kwa hoja ili kuwafanya wafuasi wa CCM waingie chadema.
 
Tunataka mabadiliko mwaka huu na hakuna anayetaka kusubiri mwaka 2015. Jk amepata wakati mgumu kujieleza kwani analiwa na mdudu ufisadi ambaye hathubutu kamwe kutamka habari zake na ameona bora afe na tai shingoni

Ukweli ni kwamba vyama vya upinzani vimechelewa kujiandaa katika maeneo ya vijijini,hivyo ushindi kwao ni mgumu katika uchaguzi wa 2010. Ushauri wangu kwa vyama vya upinzani ni kwamba baada ya uchaguzi huu waende wakajipange upya hasa vijijini kwa ajiri ya uchaguzi wa 2015
 
Vijiji gani unavyovizungumzia wewe, sasa utashangaa idadi kubwa ya wabunge wa upinzani watotoka kwenye majimbo yaliyoko vijijini.
 

Hongera na njozi zako hizi za kufikirika .... If wishes were gold beggars would ride................
 
Wewe kweli hamna kitu!tafiti mnazifanya chumbani halafu mnataka kuaminisha watu kuwa tafiti hizo ni sahihi,kweli wewe na wenzako ni bure kabisa!
 
Ni kweli kabisa amejitahidi sana ila kwa kifupi kila binadamu ameandikiwa siku ya kufurahi na kuhuzunika katika historia ya mwanadamu hakuna aliyekwisha furahi milele ipo siku atapata huzuni tu kama si mwaka huu au miaka inakuja.

hata hivyo, tusubili kivuitu wa bongo ndo mwamuzi, anaweza akakufanya ukatabasamu au ukakasiraka siku hiyo. usiamini sana hizo asilimia

watu wengi sasa wanamwamko-kupita maelezo kama unadhani utani uliza rafiki zako uliosoma nao ambao wako mikoani. unaweza ukashangaa.
 
zawadi, can u give me zawadi ya nyama ya bata plse...? or Tigo, thanks, when ur ready
i will come soon, why iam sayin this...? maana ww unaweza kutoa kila kitu kama zawadi hata kura yako... soo as ur T**O
 

Bored stiff with gabage
 
Toa upuuzi wako hapa naona umetumwa
 
zawadi, can u give me zawadi ya nyama ya bata plse...? or Tigo, thanks, when ur ready
i will come soon, why iam sayin this...? maana ww unaweza kutoa kila kitu kama zawadi hata kura yako... soo as ur T**O

Zawadi pekee nitayokupa ni kumtambulisha Kikwete kama Rais tena na kumrudisha Ikulu.
 

kumbe kelele zote hizi mpaka na kuiba wake za watu ni ili muje kuwa kiongozi wa upinzani bungeni sasa kwa kuwaweka sawa, kiongozi wa upinzani bungeni sio ccm bali cuf!

sasa kuhangaika kote huko mpaka na kutumia mamilioni ya ruzuku munazopata toka serikali ya ccm kukodi helkopta, na kuanguka bafuni mpaka kuvunjika mkono kwa mhashamu slaa ni ili kuwazidi cuf!

chadema wasitudanganye bwana hawa ni ccm b maana kumbe vita vyao ni dhidi ya cuf wala sio ccm au ufisadi!!!

pumbafu kabisa!!!!!
 

Your thoughts are very shallow
 

 


zawadi ndg yangu, wala usiende mbali kujua wapi slaa hana mvuto kabisaaaaaaaaa, kigamboni ni ccm 80% na cuf 18%, vyama vilobaki wamegawana 2%
 
Jamani someni huu waraka wa wenzetu waislam kuhusu uchaguzi mkuu wa tanzania; hivi wana maana gani
Huo waraka umekaa ki-makamba makamba... Uislam na kuwa mwislam maana yake ni kuwa mwadilifu, mtenda haki thus JK na CCM wote ni MAKAFRI na hawastahili kura zetu sisi Waislam. Tutamchagua yule mwenye kujali maskini na mayatima inshaallah...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…