Mh Slaa apanda chati na avunja Rekodi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh Slaa apanda chati na avunja Rekodi

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Zawadi Ngoda, Oct 13, 2010.

 1. Z

  Zawadi Ngoda JF-Expert Member

  #1
  Oct 13, 2010
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 2,290
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Zikiwa zimasalia Takriban wiki mbili na ushehe mpaka uchaguzi mkuu, Mh Slaa ameweza kujikongoja toka 4% tar 5.9 mpaka 12% tar 7.10. Kwa kupata 12% amefunja rekodi ya wagombea wote wa urais wa CHADEMA katika chaguzi zilizopita. Haya ni maendeleo makubwa sana kwa Chama hicho, yanayostahili pongezi.

  Licha ya kuvunja rekodi ya Chama chake, lakini kiwango hicho bado hakitoshi kumuingiza Ikulu. Hata hivyo ninahakika kabisa kuwa safari hii CHADEMA imesikika mbali zaidi, pengine mpaka 50% ya vijiji vya Tanzania. Kwa ushujaa huu wa Mh Slaa utakiwezesha Chama kupata wabunge wengi kati ya 12%-15% ya wabunge wote wa Tanzania. Huu ni ushindi kwa CHADEMA na ni ushindi kwa upinzani.

  Tatizo litalojitokeza baada ya uchaguzi ni kuvunjwa moyo kwa wapenzi wa Chama hicho, kutokana na vyombo vya habari kutoa matumaini makubwa sana kuliko hali halisi. Kwa maana hiyo pamoja na kazi nzuri ya Mh Slaa ikiwa ni pamoja na kuongezeka kwa Wabunge na kujulikana kwa chama, wapenzi wao hawatayaona hayo kama ni maendeleo au ushindi bali ni kinyume chake. Hii ni hatari sana kwa chama maarufu cha upinzani kujihakikishia uhai wake baada ya uchaguzi.

  Ushauri wangu kwa vyombo vyote vya habari vinavyoiunga mkono CHADEMA kutopika takwimu na badala yake kuandika hali halisi. Kwa mfano hakuna hata siku moja vyombo hivyo vya habari vimeeleza kinaga naga ni maeneo gani Mh Slaa hana umaarufu kabisa.
  Chaguo ni lenu kujenga chama au kubomoa.
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #2
  Oct 13, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  kumbe ndo maana ukapewa jina la zawadi..kwa hiyo sishangai hata kwa hizi comment zako..Wewe uko CCm na mgombea wenu anshinda kwa kishindo sasa unawashwa nini..kaa utulie
   
 3. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #3
  Oct 13, 2010
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 2,180
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  We ni mnafiki, labda unapokea masalia toka kwenye ufisadi!
   
 4. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #4
  Oct 13, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  hana lolote huyo tatizo ni kula kitimoto kwa kificho
   
 5. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #5
  Oct 13, 2010
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,503
  Likes Received: 2,744
  Trophy Points: 280

  Hii ndiyo IT department ya CCM kama tulivyosikia na sasa isha fika mpaka JF??
   
 6. Alnadaby

  Alnadaby JF-Expert Member

  #6
  Oct 13, 2010
  Joined: Sep 28, 2006
  Messages: 507
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Uchambuzi wako unaonekana ni sahihi,ila naona upande wa wabunge Chadema itapata takriban 30% ya wabunge wa kuchaguliwa.Hatua hii itakifanya kuwa kiongozi wa wapinzani bungeni.
  Pamoja na expectation kubwa kuwa ni kigezo cha wao kukata tamaa,hapo nasema no ila nafikiri kuwa hii itakuwa changamoto ya kuchukua madaraka mnamo 2015.
   
 7. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #7
  Oct 13, 2010
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 2,180
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Tena nimesikia mtoto wake amefungua IT mitaa ya upanga kwa ajili ya kuvuruga matokeo yatakapokuwa yakitumwa kutoka mikoani ili kutoa ushindi kwa chama fisadi!

  NNACHO SEMA OGOPA NGUVU YA UMMA, HAWATAFUA DAFU. KWANI MI KILA NIKIMHOJI NINAYE KUTANA NAYE ANASEMA TUNACHO TAKA NI MABADILIKO NA SI VINGINEVYO!
   
 8. J

  Jafar JF-Expert Member

  #8
  Oct 13, 2010
  Joined: Nov 3, 2006
  Messages: 1,138
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Ushauri huu ungeanza kuwafikia REDET na SYNOVATE kabla ungesaidia sana
   
 9. Mpambalyoto

  Mpambalyoto JF-Expert Member

  #9
  Oct 13, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Best unaongea kama wale wa Magogoni. Hata mkichoma kwa hila safari hii 2015 tutakutana tena, no surrender!!
   
 10. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #10
  Oct 13, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  kisonge-zanzibar, donge, kibanda maiti, mchambawima, kumakunduchi
   
 11. F

  Froida JF-Expert Member

  #11
  Oct 13, 2010
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Hakuna mtanzania yeyote anayengoja waingie 2015 tunataka mwaka huu 2010 soma alama za nyakati
   
 12. F

  Froida JF-Expert Member

  #12
  Oct 13, 2010
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Wezi wa mali za umma shilingi ngapi wametumia kuwavisha umati ule wote zile nguo, magari mangapi yalitumika kuwabeba watu Ruvuma nzima kuwapeleka nyasa na uwanja wa majimaji, wenda wazimu nani atadanganywa sasa wakati wenyeji wanaona kwa macho watu wanasombwa peleka ujinga wenu huko
   
 13. E=mcsquared

  E=mcsquared JF-Expert Member

  #13
  Oct 13, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 221
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Tukikibomoa ili CCM isinhde si advantage kwako? Unahangaika nini sasa ndugu yangu tena? Au una wasiwasi?
   
 14. Gerad2008

  Gerad2008 JF-Expert Member

  #14
  Oct 13, 2010
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 489
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  Tunataka mabadiliko mwaka huu na hakuna anayetaka kusubiri mwaka 2015. Jk amepata wakati mgumu kujieleza kwani analiwa na mdudu ufisadi ambaye hathubutu kamwe kutamka habari zake na ameona bora afe na tai shingoni
   
 15. Gerad2008

  Gerad2008 JF-Expert Member

  #15
  Oct 13, 2010
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 489
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  Jamani someni huu waraka wa wenzetu waislam kuhusu uchaguzi mkuu wa tanzania; hivi wana maana gani
   

  Attached Files:

 16. Z

  Zawadi Ngoda JF-Expert Member

  #16
  Oct 13, 2010
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 2,290
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Mwenzako alisema ukweli juu ya kusubiri mpaka 2015, wewe waleta hasira.

  Nikufahamishe kitu kimoja muhimu: Kutaka ni suala moja, kuwa na uwezo ni jingine kabisa. Hata mimi nilitaka CCM waondoke lakini zikiwa zimebakia wiki mbili hali halisi under ground haiwezekani, sijui kwa mapinduzi.

  Sasa wanaosema CHADEMA tunasubiri 2015 msiwabeze kwani wameongea haki.
   
 17. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #17
  Oct 13, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Mpiga miluzi mwingine huyu!

  Tumeshawazoea!!

  KAribu JF.

  DR.SLAA FOR LIFE
   
 18. Muadilifu

  Muadilifu Senior Member

  #18
  Oct 13, 2010
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 150
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Gift, kura za tarehe 31 ndizo zitakazoamua nani achukue dola, sio maneno matupu. Usicheze na nguvu ya umma.
   
 19. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #19
  Oct 13, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280

  Hapa sisemi kitu manake huchelewi kufungiwa.

  (Lakini nitafanya jambo).
   
 20. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #20
  Oct 13, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  slaa.jpg
   
Loading...