huyu mzee hata haeleweki,kwa nini hachui uamuzi kama alioufanya mrema wakati ule alipojiuzulu toka madarakani ndani ya ccm?anafanyaje kazi na watu anaojua kuwa hawana tija kwa taifa?
jamani mbona mnamlaumu mzee wa watu bure? Ina maana wewe ukiwa mchezaji mzuri katika timu ambayo ina wachezaji wengine dhaifu ni lazima uihame timu yako? Si unasubiri usajiri ujao uone kama mambo yatabadirika?
La sivyo messi angehama timu yake siku nyingi!