Mh, sijui wewe utajibu nini!

Mchawi... Au kahaba kama sio rijambazi
 
Huyo ni Sitta na mkewe mnakumbuka mama Sitta alikamatwa guest akigawa rushwa usiku?
 
huyo mzee angeuza tumbo likutane na hilo buchole la mama wee...
Dogolasi atakuwa mtoa kucha na meno bila ganzi huyo
 
huyo mzee angeuza tumbo likutane na hilo buchole la mama wee...
Dogolasi atakuwa mtoa kucha na meno bila ganzi huyo

Eeeh unasema..? Akili yangu nyembamba haijui nahau
 
yaani hata sijui kiumbe gani kitatoka hapo.....
 
Atakuwa muhujumu mdogo wake ataitwa fisadi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…