Itzmusacmb
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 1,531
- 1,134
Nina imani Mh. Mbunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwan Kikwete una ID humu JF. Nimesafiri kutoka Dar mpaka Jijini Mwanza, mchana na Usiku sijaona kitu kinachoitwa 'barrier' barabarani au kwa lugha yetu kizuizi cha aina yoyote.
Sasa basi iweje barabara ya Msata -Bagamoyo kuwe na kizuizi Kijiji cha Kiwangwa? Hali kadhalika kama haitoshi kingine kipo Kijiji cha Mbwewe (Barabara kuu ya Chalinze-Segera) na hiki huwa kinawekwa Usiku tuu!! Kuna kpi hasa kinachofanywa kiwekwe hasa usiku?
Hakuna rekodi mbaya ya uhalifu maeneo hayo wala mizigo ya magendo!! Ukiwa kama Mbunge wa maeneo tajwa please tupe majibu na kama hufahamu ulitambue hilo na ukishirikiana na DC, OCD wa Chalinze tupeni majibu juu ya hili na ikiwezekana tuondoleeni kero watumiaji wa barabara!!
Nawasilisha!!
NB: Samahani Sikuweza kupiga picha hvyo vizuizi
~Cmb