S sheva2000 Member Joined Nov 26, 2015 Posts 82 Reaction score 8 Nov 30, 2015 #1 Tafadhali raisi okoa mamilioni ya pesa zinazolipwa kununulia thamani za nyumbani kwa maafisa wa mashirika ya umma kwa kila mtendaji mkuu analipwa sio chini ya 18m,wakurugenzi wa idara 16
Tafadhali raisi okoa mamilioni ya pesa zinazolipwa kununulia thamani za nyumbani kwa maafisa wa mashirika ya umma kwa kila mtendaji mkuu analipwa sio chini ya 18m,wakurugenzi wa idara 16
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,979 Reaction score 168,984 Nov 30, 2015 #2 Ishhhh
Pdidy Platinum Member Joined Nov 22, 2007 Posts 61,788 Reaction score 37,996 Nov 30, 2015 #3 Everyn n kweli kabsa na.wanapewa cash awa konyo
S sheva2000 Member Joined Nov 26, 2015 Posts 82 Reaction score 8 Nov 30, 2015 Thread starter #4 Naomba ufanye haraka sana kwani hizo pesa zetu walipa kodi hata msajili wa hazina analijua hilo
S sheva2000 Member Joined Nov 26, 2015 Posts 82 Reaction score 8 Nov 30, 2015 Thread starter #5 yaaan mpaka inatia uchungu saaana
Cynic JF-Expert Member Joined Jan 5, 2009 Posts 5,144 Reaction score 1,658 Nov 30, 2015 #6 ... hizo ni samani za majumbani kwao au za maofisini? kama za nyumbani itakuwa ni mahoka haya
UncleBen JF-Expert Member Joined Oct 27, 2014 Posts 9,693 Reaction score 12,326 Nov 30, 2015 #7 Akaanze na Mukandala kwanza pale UD
S sheva2000 Member Joined Nov 26, 2015 Posts 82 Reaction score 8 Nov 30, 2015 Thread starter #8 hizo ni thamani za nyumbani na mbaya zaidi wanalipwa kwa cheque