Mh. Raisi anasubiri nini kutangaza hali ukame nchini

ibesa mau

JF-Expert Member
Sep 17, 2015
2,109
1,697
Karibu eneo kubwa nchini hakuna mvua, kwa mujibu wa watalaamu wa kilimo tarehe 15 januari ni tarehe ya mwisho ya kupanda mahindi na zimebaki siku chache tu kuifikia tarehe hiyo na huku baadhi ya maeneo nchini mvua haijawahi kunyesha hata siku mojs.

Kwa hali jinsi ilivyo hili ni balaa ambalo hatupaswi kulinyamazia , mh. atutangazie watu tuanze kufunga mkanda.
 
Karibu eneo kubwa nchini hakuna mvua, kwa mujibu wa watalaamu wa kilimo tarehe 15 januari ni tarehe ya mwisho ya kupanda mahindi na zimebaki siku chache tu kuifikia tarehe hiyo na huku baadhi ya maeneo nchini mvua haijawahi kunyesha hata siku mojs.

Kwa hali jinsi ilivyo hili baa , mh. atutangazie watu tuanze kufunga mkanda.

Wewe uko wapi Mkuu maana hapa Ileje mvua zinachapa sana .
 
Back
Top Bottom