MH RAIS. Nimekupenda Kwa Utendaji Wako.

PRINCE CROWN

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
5,210
4,172
kutokana na Ali Taifa letu lilipofikia na Vitendo vya Hujuma na upotevu wa rathilimali za Nchi.

Nashawishika kusema Nimekupenda MH Kwa utendaji wako.

Nimekufuatilia Wakati ukikagua mashine za kukagulia mizigo Pale Uwanja wa Ndege JK Air Port.

Nimekupenda Kwanza Kwa Kufuatilia Mambo na Kufuatilia BG UP.

Yaani wafanyakazi wa Kiwanja Wanadiriki Kukudanganya Hata Wewe!

Ama Kweli, Nchi Yetu Kama unavyosema Sijui Kuna Pepo Gani MH!

Mungu Akutie Nguvu. Uzidi Kutumbua Majipu Haya Wananchi wako Tufaidi Matunda ya Mama Tanzania.

Mungu, Akubariki Sana Mtumishi wa Mungu.
 
Nimemuona amewanyoosha wanacheza na daktari. Wanauliza maswali wanajikanyagakanyaga. Kusema ukwel ukisema uongo lazima uwe na kumbukumbu
 
Huyu ndie Kiongozi Mwenyezi Mungu ametupatia .Wafanyakazi /Watumishi wa Umma Badilikeni watumikieni Wananchi na Nchi yetu Pendwa.Na Mtambue sasa wakati huu wa Awamu ya Tano hakuna tena Business as Usual na ndiyo maana Sekta Binafsi wanacheza nanyi Wakijua wimbo ni ule ule .Badilikeni mbona wao Sekta Binafsi hakuna kucheza wala visababu visivyo na maana HONGERA MH.RAISI.
 
" kutokana na Ali Taifa letu lilipofikia na Vitendo vya Hujuma na upotevu wa rathilimali za Nchi.
Nashawishika kusema Nimekupenda MH Kwa utendaji wako.
Nimekufuatilia Wakati ukikagua mashine za kukagulia mizigo Pale Uwanja wa Ndege JK Air Port."

imenichukua muda mrefu kufahamu vidole navyo vina kithembe!
 
:(;):)o_O
 
Back
Top Bottom