Mh Rais, mteue Zitto Kabwe kuwa Deputy Governor wa microfinance BoT

Kumteua zito ni sawa na kupunguza kina cha bahari kwa kutumia kisoda .
Huyu ni wa kuachwa hivyohivyo ,anapotea taratibu,mvuto kwishney.alivyo mjinga analalia mlango wazi bahati za akina Mkumbo na Ana Mghwira
 
Hakuna zitto is a money monger alikuwa na future kubwa sana ndani ya CCM na alipohamia Chadema bado alikuwa na future kubwa politically love of dirty money has brought him down .It will take him centuries to recover
Zitto alijiunga CCM mwaka gani na ukinipa namba ya kadi yake nitafurahi
 
hebu weka hapa hiyo cv na nakala upeleke takukuru.
mshipa
Sio kila kitu kinatakiwa kupelekwa takukuru na sipeleki na Zito,anajua why? Na mbowe anajua why? Wasiojua nii akina lisu,mdee,godbless lema na mchungaji msigwa na Sugu na mange kimambi ok ?
 
7075c5aef74dbf6623ddbb243d485c9d.jpg
hahaahahah yani huyu babu bana
 
Mzee wa roho mbaya hawezi mteua huyo jamaa maana akiteuliwa atajua true financial position ya BOT na kuweka wazi kwa wananchi hahahaha...
 
Back
Top Bottom