chuwaalbert
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 3,598
- 2,136
Na wateule wa Raisi NAO WALIPE Mikopo ya HELSB.Nimesha thibitisha kuwa mdaiwa namba 5604 kwenye orodha ilotolewa miezi michache ilo pita, MAKORI KISARE ndiye Mkuu wa Wilaya ya Ubungo. Na Mke wake Nancy Hizza anadaiwa pia. Huyu yuko namba 5526 kwenye orodha hiyo. Wote 2 walimaliza mwaka 1998. Miaka 19 HAWAJALIPA DENI la serikali!Hebu lipeni mikopo wengine wakopeshwe. Mlikopa rudiaheni. Kusubiri 2020 ni sawa na fisi kusubiri mkono wa binadamu ukatike. Mmepata shahada. Zitumieni ipasavyo kufanya kazi kwa bidii ili kulipa mikopo yenu.
Hyo sio majib ya kujenga mkuutafuta shule ya private ufundishe
Kwa afrika hii, katba bora haitatokea, labda kije kizazi cha sayari ya mars na jupitaPole mkuu lakini kama tupo serious basi kwasasa tungepata katiba mpya kwanza
Mganga ndo atafanya nini Mkuu?, huko kwa waganga ndo kuliko makazi yake, alafu wa-tz wanabaki kudanganywa kuomba wapi na wapi nyumba nyeupe ikawa na Mungu, vilio vya wenye haki vimekuwa vingi, ila kosa lenu ndugu zangu mnamlilia mtu badala ya Mungu au miungu kila mtu kwa imani yake.Huyu bwana maombi yamefeli labda tumtafutie mganga tu wa kienyeji
Kwa afrika hii, katba bora haitatokea, labda kije kizazi cha sayari ya mars na jupita
yeye analalamika maslahiHyo sio majib ya kujenga mkuu
Code waliyo tengeneza haingalii 1/3 inafyeka tunajaribu kuwaza wanawezaje kata baada ya 1/3 maana wadau ninaowafahamu wamebakiwa na 1/3, au watavunja utaratibu
Yaani hapa ofisini kila mmoja anasubiri 2020. In kama msiba. Hakuna anayewaza lini atamaliza makato ya mkopo, wote wanawaza October 2020
Kwa hili hata mi magu kaniudhi sanaMkubali tuu kuwa mliingia choo cha kike na 2020 OUT basi. Nadhani hata hao washabiki wa ccm nao wameona kuwa kumpa kura mtu kwa ushabiki wa kisiasa kisha mateso na familia yako miaka 5 ni zaidi ya ujuha!
Akiwa madarakani mtu anaye vaa kijani kama wewe lakini hana mbinu za kukukwamua zaidi ya kukukamua inakusaidia nini kama sio yeye huyo huyo kukuona fala!