Hivi hadi aombe kwa Mbowe, kwani nchi haina wapelelezi..?? Au ndo mambo ya siasa..???Mh.Rais amtaka Mh. Mbowe apeleke video ya ushahidi Ikulu! sijui afanyie nini! Ushahidi wa marehemu Mwangosi,Ulimboka,orodha ya wauza unga,waliochinjwa kama kuku sehemu mbalimbali mbona hawakutaka ushahidi. tanzania na ugaidi wapi na wapi?! haya mauaji yamefanywa na nyie wenyewe kutokana na kauli za nape tena akatuma hadi sms na mwigulu. mkuu rudi tu home ushaidi utaenda mahaka huru au unda tume yako. Source eat radio
hivi hadi aombe kwa mbowe, kwani nchi haina wapelelezi..?? Au ndo mambo ya siasa..???
Anataka wakaongee, wamalizane na yaishe...Mh.Rais amtaka Mh. Mbowe apeleke video ya ushahidi Ikulu! sijui afanyie nini! Ushahidi wa marehemu Mwangosi,Ulimboka,orodha ya wauza unga,waliochinjwa kama kuku sehemu mbalimbali mbona hawakutaka ushahidi. tanzania na ugaidi wapi na wapi?! haya mauaji yamefanywa na nyie wenyewe kutokana na kauli za nape tena akatuma hadi sms na mwigulu. mkuu rudi tu home ushaidi utaenda mahaka huru au unda tume yako. Source eat radio
Sasa mkuu wa nchi ukifika mahala huwaamini watendaji wako, maana yake nini.. kama si kufumua mfumo mzima na kuanza upya...???lbda ameumia sana umechoka kudanganywa anataka auoe original ili ajue la kufanya. Anajua ukipitia polisi hawatamuonyesha , watakachofanya ni kumwambia tumeuangalia na wataalamu wetu hakuna jipya.
huyu jamaa wa ajabu sana kila siku anawateu haohao wanaoshindwa kumsaidia. Ila kuna wazo jingine yawezekana anajua polisi wamehusika ila anataka kuongea na mbowe kwa faragha maana anajua huu mkanda ukitoka tu ndiyo mwisho wa ccm tzsasa mkuu wa nchi ukifika mahala huwaamini watendaji wako, maana yake nini.. Kama si kufumua mfumo mzima na kuanza upya...???