Mh. Rais amtaka Mh. Mbowe apeleke video ya ushahidi Ikulu!

Kizotaka

JF-Expert Member
Jan 26, 2012
561
107
Mh.Rais amtaka Mh. Mbowe apeleke video ya ushahidi Ikulu! sijui afanyie nini! Ushahidi wa marehemu Mwangosi,Ulimboka,orodha ya wauza unga,waliochinjwa kama kuku sehemu mbalimbali mbona hawakutaka ushahidi. tanzania na ugaidi wapi na wapi?! haya mauaji yamefanywa na nyie wenyewe kutokana na kauli za nape tena akatuma hadi sms na mwigulu. mkuu rudi tu home ushaidi utaenda mahaka huru au unda tume yako. Source eat radio
 
Inashangaza kuona Rais badala ya kutumia vyombo vya Serikali anategemea ushahidi toka kwa kiongozi ambaye wasaidizi wake walikwishakumuona muongo,inashangaza sana!
 
Ameshapelekewa ushahidi wa yule mama mjamzito aliyepigwa risasi kule Mtwara? Wakina mama waliobakwa na polisi? Nyumba zilizochomwa moto na polisi?

Chagonja sets the stage. Anachosema Chagonja ndicho atakachosema Mwema na ndicho atakachosema Pinda na JK. Angalia kumbukumbu sawa sawa, likitokea jambo ni lazima Chagonja aanze kulitolea kauli kisha wengine wote hadi rais wataimba wimbo huo huo

Kuna wakati huwa nahisi hata Saidi Mwema anapelekwa puta na Chagonja
 
labda anataka ajigeuze kuwa mahakama na jaji yeye mwenyewe. ni aibu kuwa na Rais mzima ambaye hajui maana ya separation of power maana yake nini??
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Mh.Rais amtaka Mh. Mbowe apeleke video ya ushahidi Ikulu! sijui afanyie nini! Ushahidi wa marehemu Mwangosi,Ulimboka,orodha ya wauza unga,waliochinjwa kama kuku sehemu mbalimbali mbona hawakutaka ushahidi. tanzania na ugaidi wapi na wapi?! haya mauaji yamefanywa na nyie wenyewe kutokana na kauli za nape tena akatuma hadi sms na mwigulu. mkuu rudi tu home ushaidi utaenda mahaka huru au unda tume yako. Source eat radio
Hivi hadi aombe kwa Mbowe, kwani nchi haina wapelelezi..?? Au ndo mambo ya siasa..???
 
Anaogopa usisambaae maana next watanzania watampiga mawe popote atakapokwenda tz
 
hivi hadi aombe kwa mbowe, kwani nchi haina wapelelezi..?? Au ndo mambo ya siasa..???

lbda ameumia sana umechoka kudanganywa anataka auoe original ili ajue la kufanya. Anajua ukipitia polisi hawatamuonyesha , watakachofanya ni kumwambia tumeuangalia na wataalamu wetu hakuna jipya.
 
Mh.Rais amtaka Mh. Mbowe apeleke video ya ushahidi Ikulu! sijui afanyie nini! Ushahidi wa marehemu Mwangosi,Ulimboka,orodha ya wauza unga,waliochinjwa kama kuku sehemu mbalimbali mbona hawakutaka ushahidi. tanzania na ugaidi wapi na wapi?! haya mauaji yamefanywa na nyie wenyewe kutokana na kauli za nape tena akatuma hadi sms na mwigulu. mkuu rudi tu home ushaidi utaenda mahaka huru au unda tume yako. Source eat radio
Anataka wakaongee, wamalizane na yaishe...
 
Inamaana TISS ni weupe kiasi hiko? Wameshindwa kujua BOMU limenunuliwa na nani huko China?

Wasituzuge, waseme tu kuwa wamekamatwa pabaya!
 
kwa kauli hii ya mh Rais ni wazi kuwa hata yeye hana imani na jeshi la polisi. hivyo na mshauri alivunje.
 
lbda ameumia sana umechoka kudanganywa anataka auoe original ili ajue la kufanya. Anajua ukipitia polisi hawatamuonyesha , watakachofanya ni kumwambia tumeuangalia na wataalamu wetu hakuna jipya.
Sasa mkuu wa nchi ukifika mahala huwaamini watendaji wako, maana yake nini.. kama si kufumua mfumo mzima na kuanza upya...???
 
Hahaaaaaaaaaaaaaaa, siameshawapandisha cheo makamanda wake kwa kazi, sasa video hii ni kwaajili ya kujiburidisha weekend after long safari au ni ya kazi gani.
 
wakitupatia no. ya grenade tunaweza saidia kujua consignment hiyo initially iliuzwa wapi...kwasababu namba iliyoko kwenye bomb can be tracked kupitia manufacturer....kama huko mbele lilipelekwa kwa watu wengine itajulikana tu sema kama lilififika mikononi mwa wapiganaji wa nchi nyingine wa misituni basi at least itajulikana middle man aliyewauszia...kama nchi inaweza sana kama kuna nia but if not tupenyezeeni hizo namba tuwasaidie
 
sasa mkuu wa nchi ukifika mahala huwaamini watendaji wako, maana yake nini.. Kama si kufumua mfumo mzima na kuanza upya...???
huyu jamaa wa ajabu sana kila siku anawateu haohao wanaoshindwa kumsaidia. Ila kuna wazo jingine yawezekana anajua polisi wamehusika ila anataka kuongea na mbowe kwa faragha maana anajua huu mkanda ukitoka tu ndiyo mwisho wa ccm tz
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom