Mh.Rais amtaka Mh. Mbowe apeleke video ya ushahidi Ikulu! sijui afanyie nini! Ushahidi wa marehemu Mwangosi,Ulimboka,orodha ya wauza unga,waliochinjwa kama kuku sehemu mbalimbali mbona hawakutaka ushahidi. tanzania na ugaidi wapi na wapi?! haya mauaji yamefanywa na nyie wenyewe kutokana na kauli za nape tena akatuma hadi sms na mwigulu. mkuu rudi tu home ushaidi utaenda mahaka huru au unda tume yako. Source eat radio