Mh. Rais amtaka Mh. Mbowe apeleke video ya ushahidi Ikulu!

Jk anafanya kazi kubwa sana ya kupigania amani ya nchi ila kuna magaidi wachache wanalazimisha shari
 
Hivi KIKWETE NI NANI? KAMA NI RAISI ANAYAJUA MAJUKUMU YAKE, ANATAMBUA UMUHIMU WA WANANCHI WA TANZANIA, ANAJUA WATU WANATAKA NINI NA KWA WAKATI UPI, kiufupi tu KIKWETE NI BONGE LA KIUMBE DHAIFU NA INABIDI WATANZANI TUSHINIKIZE JINA LAKE LIINGIE KWENYE KITABU CHA GUNNES SABABU NDIYO KIONGOZI PEKEE MWENYE MAAJABU MENGI NA YA KUSIKITISHA, NA NDIO KIONGOZI PEKEE DUNIANI MWENYE SAFARI NYINGI KULIKO MAENDELEO
 
taarifa nilizonazo kutoka mtu wa jirani na IGP ni kuwa yeye alikataa kuongezewa muda.Sababu kubwa ni hapendi lawama 2015 maana wanajua lolote linaweza kutokea. JK kapata wakati mgumu kumteua IGp mpya mgeni kwa kipindi kilichobaki mpaka 2015 ni kidogo na ingeweza kutokuwa rahisi kukubaliana na mipango CCM wanayotaka kuifanya ikiwepo kuhujumu upinzani na uchaguzi kwa GHARAMA yoyote ile. Kingine ni jeshi la polisi limeparaganyika na hivyo hakuna siri tena zinazotunzwa, hakuna mtu anamwamwini mweziwe katika top figures.

mkuu hizi ni taarifa sahihi au udaku wa mtaani?
huyu igp mwema anayo ya kujibu mengi tu hata akijiuzulu kabla ya 2015 damu za watanzania zilizo kwenye mikono yake hazihesabiki
 
Watu wengine huwa ni vichwa maji kweli kweli. Polisi wakitaka ushahidi wanasema wanataka wauchakachue! Raisi akitaka ushahidi wanasema ze Komedi. Jamani, Hata wakati wa kuomba kazi si unapeleka copy za CV kisha Origino unabaki nazo?? Sasa nani anaweza kuchakachua CV zako??. Dhamira nzuri hujenga. Lakini moyo ukiopinda na akilimaji huwaza kinyume!

Suala hapa siyo ushahidi wala cv, suala ni kuaminiwa kwa huyo anayeomba ushahidi. Hakuna anayeweza kupeleka personal information kwa matapeli wa kiNigeria mtandaoni hata kama unaomba kazi maana hawaaminiki. Mauaji yaratibiwe na ccm na kutekelezwa na polisi, halafu mwenyekiti wa chama kilichoratibu mauaji ndo aombe kupelekewe ushahidi, huo kama siyo uzezeta ni nini? Kweli unategemea chadema wamwamini Kikwete na kumpa ushahidi? Kuna ushahidi wa mambo mangapi amepewa lakini hakuna chochote alichofanya?
 
Kama kweli anao (kama alivyo jitapa) si apeleke! Asipo fanya hivyo basi ashtakiwe kwakutudanganya wanchi.

Hivi na yule aliyetupa ahadi hewa kwa nini asishtakiwe kwa kudanganya? Eti maisha bora kwa kila mwananchi.......
 
Iwapo askari wake walikuwa uwanjani, kwa nini asiwaulize hao kilichotokea? Kwani Mbowe ni Afisa Usalama??
 
mh.rais amtaka mh. Mbowe apeleke video ya ushahidi ikulu! Sijui afanyie nini! Ushahidi wa marehemu mwangosi,ulimboka,orodha ya wauza unga,waliochinjwa kama kuku sehemu mbalimbali mbona hawakutaka ushahidi. Tanzania na ugaidi wapi na wapi?! Haya mauaji yamefanywa na nyie wenyewe kutokana na kauli za nape tena akatuma hadi sms na mwigulu. Mkuu rudi tu home ushaidi utaenda mahaka huru au unda tume yako. Source eat radio

huko si ndiko ilipozama mikataba yenye usiri?
 
hii imejidhihirisha wazi kwamba kiongizi mkuu nae akili yake ni 1.0 kb, hivi kweli hana hata wakumshauri mambo za kuongea mbele za watu?. hii ni aibu
 
Jk anafanya kazi kubwa sana ya kupigania amani ya nchi ila kuna magaidi wachache wanalazimisha shari

anapigania namna gani mkuu, yeye ana jw, magereza ,polis, Tiss, sungusungu, mgambo, polisi jamii,greenguard n.k lakini bado amani hakuna na hakuna aliekamatwa na akawa ndo mhusika haswa na mtandao huo kufumuliwa . Hapa utasema amefanya jitihada mkuu !!!!!??? hebu fafanua. Ina maana CHADEMA WANA NGUVU NA INTELINJENSIA KUZIDI SERIKALI?
 
Mh.Rais amtaka Mh. Mbowe apeleke video ya ushahidi Ikulu! sijui afanyie nini! Ushahidi wa marehemu Mwangosi,Ulimboka,orodha ya wauza unga,waliochinjwa kama kuku sehemu mbalimbali mbona hawakutaka ushahidi. tanzania na ugaidi wapi na wapi?! haya mauaji yamefanywa na nyie wenyewe kutokana na kauli za nape tena akatuma hadi sms na mwigulu. mkuu rudi tu home ushaidi utaenda mahaka huru au unda tume yako. Source eat radio

Kwa hili la Bomu la Arusha asitake kuzidi kujizalilisha. Sijawahi kusikia Rais wa Nchi anapelekewa kesi au ushahidi wakti kuna Government machineries zinazoshughulikia maswala ya kesi. Je, Polisi wameshindwa kazi, Mahakama wanafanya nini? Kinachotakiwa hapa acha Polisi waende Mahakamani wafungue kesi kuwashtaki Viongozi wa CHADEMA kuwa wameua watu kwa Bomu halafu kesi ianze na Mahakama ndiyo watahitaji Ushahidi wa Mkanda wa Video hii ya Bomu,siyo Rais Kiwete!!!

Kwanza huyu jamaa bado yuko majuu. Ninavojua mpaka dakika hii Rais wa magamba Kiwete anakula kuku na kutembeza bakuli la umatonya(ombaomba) huko Ulaya. Juzi alikuwa kwenye Club ya mpira ya Sunderland kwa malkia eti anatafuta msaada wa kuinua vipaji vya mpira! Nonsense!

Rais mzima kweli unahangaika kwenye timu za mpira ati kutafuta makocha na waalimu wa kuinua vipaji vya mpira?Watu wanauliwa kwa itikadai za kisiasa na udini,uchumi wa nchi unazidi kudorora yeye anaruka masafa tu.

Kila nchi akitembelea anatafuta makocha,kwani yeye amekuwa Waziri wa Michezo???Kweli Kiwete ni Rais Dhaifu wa Karne hii ya 21 kwa Watanzania. So shame on him!
 
ebana tusiwe kisiasa sn,kiuhalisia km mh. mbowe km anayo CD km anavyodai,bac kesi ifunguliwe mambo yabainishwe na C Kuzd ku2piana madongo 2 na mambo hta hayaishi,cz kila m1 anatetea kwke xo CD iwasilishwe ili ushahd uwekwe waz
 
Yeye huo ushahidi apeleke hata the hague uholanzi kama anao na sijui kautoa wapi,yeye anafanya mchezo wa kucheza na akili za watu hasa kwa wasiomjua mbowe atawadanganya sana.ila ukimjua hutatapata shida.
Kama ni uongo mbona sasa huyo mwenyekiti wa ccm amekubali kudanganywa?
 
Kwanini isipelekwe kwa tume ya majaji au tume ya kibunge?Mh.Rais na fikiri amepitiwa.
 
Back
Top Bottom