Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,583
Mimi sijafanya research,nimekuuliza tu,halafu kwa mtu ambaye ni civilized hawez kuibua ubish wa kitoto kama huu.Pole. Tulia dawa iingie vzr. Hapa sio udini ila ni Fact tu.
Mf Chuo chochote ulichosoma kuna Ma Prof. wangapi wa Kiislam? pia mf mzr ni Bunge kuna Ma Prof. na Ma Dr. wangapi wa Kiislam?
Mimi sijafanya research,nimekuuliza tu,halafu kwa mtu ambaye ni civilized hawez kuibua ubish wa kitoto kama huu.
Kuwa na idadi kubwa ya maprofesa au Madokta hakumuongezei Muislam wala mkristo.
Mimi kwa elimu yangu nawahudumia watu wote bila kujali dini zao,rangi zao wala kabila zao.Nawachukulia wote ni watanzania. Haya let say maprofesa au ma-Drs wa kikristo wapo wengi huko vyuoni,na mabungeni na kwingineko,so what are u benefit from them?kuibiwa?.
Maelezo yako yananithibitishia wewe ni adolescent.Endelea na takwimu za idadi ya maprofesa wakristo kuwa wengi wakat wenzio wanapata vipato vyao na havikunufaishi chochote.Hatuna haja ya kuwa na idadi kubwa ya wasomi ambao hawawezi ku-deliver, tunataka wasomi wanaoweza ku-deliver. Sasa utajisifia mkristo mwenzio ni profesa while anakua dalali wa watu kuchota pesa.
Unamiliki comment wewe?umekosa hoja sasa unahorojoka tu,:lol:Kama sio tija kwako, umekuja kwenye comment yangu kutafta nn? Au unadhan ww ndio wa kwanza kuiona? Ilikuwepo toka jana, kaa kushoto mkuu.
Unamiliki comment wewe?umekosa hoja sasa unahorojoka tu,:lol:
Mimi ni mwana CCM, na nasema walaaniwe wslioingiza dini kama issue ya kisiasa.Hoja ya mahakama ya kadhi tumeiona jinsi ilivyoibua hisia kali na hali ya sintofahamu ktk jamii.Ilipelekea Mh.Mtikila kuwahi mahakamani kuipinga isizungumzwe bungeni.
Maaskofu na watu wasio na maslahi na mahakama ya kadhi,waliipinga kwa hoja na hata kuionya serikali isithubutu kuinzisha mahakama hiyo.
Waziri mkuu na mwanasheria mkuu waliikomalia na kushawishi sana kuwa haina madhara endapo ikijadiliwa na hata kupelekea kuanzishwa kwa mahakama hiyo ya kadhi.Huenda ilikua janja ya nyani kula indi bichi ili kushawishi kundi linalodai mahakama hiyo na kupata kuungwa mkono kwa mambo fulani yanayotakwa na wapenda madaraka.
Sasa ni wazi kuwa mswada wa mahakama ya kadhi umetoswa baada ya kuona jinsi hali ya hewa ilivotaka kuchafuka huko bungeni na baadaye ingekua huku uswazi(MUNGU aepushie mbali)
Hivyo,endapo Mh.Pinda alitaka kuwafurahisha waislamu,sijui sasa atawaambia nini? Na huko kwa wakristo nako sijui atawaeleza nini? Atagombea urais kweli,au amejikaanga kwa mafuta yake mwenyewe?
Wanasiasa huwa hawana aibu,ngoja tumsubiri !
hoja ya mahakama ya kadhi tumeiona jinsi ilivyoibua hisia kali na hali ya sintofahamu ktk jamii.ilipelekea mh.mtikila kuwahi mahakamani kuipinga isizungumzwe bungeni.
Maaskofu na watu wasio na maslahi na mahakama ya kadhi,waliipinga kwa hoja na hata kuionya serikali isithubutu kuinzisha mahakama hiyo.
Waziri mkuu na mwanasheria mkuu waliikomalia na kushawishi sana kuwa haina madhara endapo ikijadiliwa na hata kupelekea kuanzishwa kwa mahakama hiyo ya kadhi.huenda ilikua janja ya nyani kula indi bichi ili kushawishi kundi linalodai mahakama hiyo na kupata kuungwa mkono kwa mambo fulani yanayotakwa na wapenda madaraka.
Sasa ni wazi kuwa mswada wa mahakama ya kadhi umetoswa baada ya kuona jinsi hali ya hewa ilivotaka kuchafuka huko bungeni na baadaye ingekua huku uswazi(mungu aepushie mbali)
hivyo,endapo mh.pinda alitaka kuwafurahisha waislamu,sijui sasa atawaambia nini? Na huko kwa wakristo nako sijui atawaeleza nini? Atagombea urais kweli,au amejikaanga kwa mafuta yake mwenyewe?
Wanasiasa huwa hawana aibu,ngoja tumsubiri !
Pinda kiongoz makin na ndie rais ajae
Unaposema waislam hawajasoma uweke na takwimu,
tuwekee idadi yao kiujumla,idad ya waliosoma na wasiosoma.
Na pia tupatie idadi ya wasio waislam kwa ujumla,na idad ya waliosoma na wasiosoma.Then tufanye analysis
Kusifia kama wakristo wamesoma,then kwenye kashfa za wizo serikalin wao ndo wengi ni ujuha.Haya Mtoto wa Mkulima kasoma mbona anavurunda?AG wa Mkapa,ma-AG QA JK WOTE WAKRISTO NA HAPA WANACHAMBWA KUWA NI EMPTY HEADS,ILA WAO HAMUWASEMI KWA DINI ZAO,AKINA S@ad@ mnawajadili kwa dini zao.Hapo hakuna u-great thinker mdau
Wewe huna chako hapa JF hata ID si mali yako. Hao wanaowafungia watoto ndani ni watu wenye akili fupi kama ilivyo kwa mtu yeyote,mbona wamasasi na baadhi ya makabila wanawaoza watoto zao mapema na wanakosa elimu?hilo ni kukosa maono kama ilivyo wewe ambaye unajisifia kuwa watu wa dini yako wamesoma kwa wingi na hao hao ndio wanaoonekana wanafanya ubadhilifu kwa wingi.Sasa sisi tunaojitambua hatuwezi kusema wakristo ni wezi,sisi tutaendelea kusema akina fulani ni wezi.So usiwe una generalize mambo dogo kwa kufuata Mkumbo.Off course, ilikuwa yangu. I can do anything on it.
Wee kahamasishe watu kusoma sio kufungia watoto (147, Kilimanjaro) miskitini! Na kuwanyima fursa ya kupata Elimu!!
Mwambie huyo mamu the catalyst maana hajui hata mambo yanakwendaje,Mimi siyo muislam lakini nafedheheka sana na watu wanaojiita wamesoma halafu ni wezi, mafisadi, wala rushwa na wana utendaji duni. Nchi hii ili iendelee tunahitaji viongozi na watendaji walio wabunifu, waadilifu, na walio jasiri. Mambo yetu mengi hayaendi, siyo kwa sababu ya elimu bali kutokana na ubunifu mdogo, ukosefu wa uzalendo, na ujasiri.
Uongozi wa Kikwete umeyumba sana siyo kwaajili ya elimu maana wote Mkapa na Kikwete wana degree moja. Kikwete anachokosa ni msimamo na ujasiri na wala siyo elimu.
Wewe huna chako hapa JF hata ID si mali yako. Hao wanaowafungia watoto ndani ni watu wenye akili fupi kama ilivyo kwa mtu yeyote,mbona wamasasi na baadhi ya makabila wanawaoza watoto zao mapema na wanakosa elimu?hilo ni kukosa maono kama ilivyo wewe ambaye unajisifia kuwa watu wa dini yako wamesoma kwa wingi na hao hao ndio wanaoonekana wanafanya ubadhilifu kwa wingi.Sasa sisi tunaojitambua hatuwezi kusema wakristo ni wezi,sisi tutaendelea kusema akina fulani ni wezi.So usiwe una generalize mambo dogo kwa kufuata Mkumbo.