Martine Waziri
Member
- Aug 5, 2013
- 83
- 17
Mbunge wa Iringa mjini kesho atafanya kufuru ya mwaka ktk mkutano wa hadhara utakaofanyika ktk viwanja vya Tabata shule.Lengo ni kutoa msimamo wa chama juu ya Rasimu ya Katiba Mpya.
Msigwa tangu alivyojidhalilisha Bungeni na hotuba yake ya kidaku amekuwa akionekana mtu wa hovyohovyo tu.
Msigwa ni miongoni mwa wabunge wachache ambao kufikiri kwao ni kwa viwango vya akina Abbot, Backhouse, Nelkon & Parker.
Msigwa tangu alivyojidhalilisha Bungeni na hotuba yake ya kidaku amekuwa akionekana mtu wa hovyohovyo tu.
Najua unaingiza siku, lakini si vibaya ukacheki hapa... Mhe. Msigwa akifyatuka Juni 20, 2012 - YouTube ...usiogope, Nape hatakuona.
Mkuu ZeMarcopolo,
Hivi bado Msigwa ana jadiliwa humu JF tena?
Mimi nilidhani tangu atapike ule upuuzi wake pale bungeni kuhusu Kinana, humu JF na taifa kwa ujumla tumempuuza, kumbe bado tu ana jadiliwa?
ZeMarcopolo kama hizi hapa chini ndizo hotuba za kidaku, basi michango yako humu JF zitakuwa ni busara za Malaika Mkuu! Na kinyume chake ndo ukweli.Msigwa tangu alivyojidhalilisha Bungeni na hotuba yake ya kidaku amekuwa akionekana mtu wa hovyohovyo tu.
ZeMarcopolo kama hizi hapa chini ndizo hotuba za kidaku, basi michango yako humu JF zitakuwa ni busara za Malaika Mkuu! Na kinyume chake ndo ukweli.Msigwa-Juu ya Ajira na Wamachinga
[video=youtube_share;KdL0iVvQIMc]http://youtu.be/KdL0iVvQIMc[/video]
Msigwa-Akili Ndogo Kuongoza Akili Kubwa
[video=youtube_share;T3wgDb2PRAI]http://youtu.be/T3wgDb2PRAI[/video]
Msigwa ni miongoni mwa wabunge wachache ambao kufikiri kwao ni kwa viwango vya akina Abbot, Backhouse, Nelkon & Parker.
Mkuu ZeMarcopolo,
Hivi bado Msigwa ana jadiliwa humu JF tena?
Mimi nilidhani tangu atapike ule upuuzi wake pale bungeni kuhusu Kinana, humu JF na taifa kwa ujumla tumempuuza, kumbe bado tu ana jadiliwa?
Nimerudia kusikiliza upya hotuba na nahisi nina matatizo ya uelewa. Nimeshindwa kusikia au kuona huo UDAKU! Mkuu ZeMarcopolo nisaidiea hiyo mistari ya UDAKU nami nijitambueMsigwa ...... alijivunjia sana heshima kwa kutoa hotuba ya UDAKU...
Nimerudia kusikiliza upya hotuba na nahisi nina matatizo ya uelewa. Nimeshindwa kusikia au kuona huo UDAKU! Mkuu ZeMarcopolo nisaidiea hiyo mistari ya UDAKU nami nijitambue