Mh Ntukamazina na uchaguzi ujao 2015

Mh Ntukamazina na uchaguzi ujao 2015

HERBERTH

Member
Joined
Jun 4, 2013
Posts
16
Reaction score
2
wakati prukshani za kutaka kuingia ikulu zikipamba moto, mbunge wa jimbo la Ngara mh Ntukamazina Aloyce ametangaza kutogombea ubunge jimboni hapo. Hayo aliyasema wakati akiongea na wanachama wa NUSO(wanavyuo vikuu watokao Ngara) tawi la Dodoma mwezi Mei mwaka huu.
 
Huyo mzee Dr. Deogratius Ntukamazina ni mwalimu kwa kusomea,kweli alistaafu Utumishi wa Umma akiwa KATIBU MKUU OFISI YA RAISI MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA.Vyovyote ni think-tank ya Serikali.Nilipenda alivyoainisha wajibu wa kila mdau kwenye matokeo dhafifu ya kidato cha nne yaani makosa ya wanafunzi(kutokujisomea kwa juhudi zote,ikizingatiwa kuwa mwanafunzi anawajibika kujifunza kwa 75% mwalimu kuelekeza kwa 25%) serikali ya CCM(sera,ukaguzi,motisha kwa waalimu,miundombinu mibovu) wazazi(kutokufuatilia maendeleo ya watoto wao,hebu angalia harusi unachangia shilingi ngapi vitabu vya mwanao unanunua kwa malalamiko?na hata kuendelea kuiacha CCM MADARAKANI NI KOSA LA MZAZI NA KILA MPIGA KURA HAPA NCHINI)Simfagilii lakini ukilinganisha na watendaji wa sasa huyu muungwana DEOGRATIUS NTUKAMAZINA NI KICHWA!
 
Alifanya nini kuboresha maslahi ya walimu kipindi akiwa katibu mkuu utumishi.
 
Back
Top Bottom