Hao viongozi wanajua sana kila kitu ,tatizo lililopo ni kwamba wanatumiwa vibaya sana kwa kila kituWatu walipigana Jihad kutetea haki zao sembuse kuandamana!
Siamini kama kiongozi wa Kiislamu anaweza akatamka maneno hayo, nahisi amenukuliwa vibaya.
naamini hapa TZ hakuna shekhe hata mmoja anayeweza kusema anawazidi mashekhe wa TUNISIA, MISRI ama LIBYA kwa uelewa na usahihi wa kufuata na kujua dini ya kiisilam na hao ndo wamekuwa wa kwanza kutoka nje na kutembea mitaani na hata kulala nje mpaka kikaeleweka!!
I concur with unaamini hapa TZ hakuna shekhe hata mmoja anayeweza kusema anawazidi mashekhe wa TUNISIA, MISRI ama LIBYA kwa uelewa na usahihi wa kufuata na kujua dini ya kiisilam na hao ndo wamekuwa wa kwanza kutoka nje na kutembea mitaani na hata kulala nje mpaka kikaeleweka!!
jana majira ya saa nne kuelekea saa tano,kituo cha habari cha chanel ten kilikuwa na kipindi ambacho kilinisikitisha sana....
Shekhe mmoja alikuwa akizungumzia kuhusu "nguvu ya umma" cha kushangaza kiongozi huyu wa dini alikuwa akisema kulingana na vitabu vyetu vya dini nguvu ya umma kuwang'oa viongozi wabadhirifu ni dhambi,na akawasihi waumini wake wasikubali kuungana na hiyo nguvu ya umma.....naheshimu sana viongozi wangu wa dini awe shekhe,padri,askofu,mchungaji nk..lakini kwa hili naomba kumuomba yule kiongozi aache kutumiwa na hawa wahuni wanao tafuna nchi yetu....napenda kumuuliza huyu kiongozi
naomba huyu kiongozi ajue kuwa anayeua kwa upanga atakufa kwa upanga.....
- hawa viongozi hanaowatetea walipoingia madarakani kwa kuchakachua matokeo ilikuwa halali?
- hawa viongozi wanapotafuna maliasili za kainchi ketu kwa manufaa yao na watoto wao ni halali?
HAPO kwenye Kijani sidhani kama ulimnuku vema huyo unaye mwita Shekhe, maana inawezekana kuna vihiyo piajana majira ya saa nne kuelekea saa tano,kituo cha habari cha chanel ten kilikuwa na kipindi ambacho kilinisikitisha sana....