Mh leo alikua na mkutano na wanakijiji wa kijiji chaMbuguni,kafanya maamuzi magumu kwa kuwarudishia wanakijiji soko lao ambalo lilikua limetaifishwa na wajinga wachache akiwemo diwani na Katibu Tarafa.
Wananchi wameimba sana wanataka soko lao wakiongozwa na mh Mbunge.