Niliposikia huyu bwana kapewa wizara ya uchukuzi nilijua kuwa sasa kumekucha. Mimi hua siku zote namchukulia huyu muheshimiwa kama mtu wa kazi miongoni mwa watu wachache wa CCM. Nilijua anataka kufufua makampuni ya uchukuzi likiwemo TRL. Nasikitika kuwaambia watanzania kuwa hayo mambo ambayo hadi sasa kayafanya hayana mchango wowote kwa maendeleo ya TRL bali kwa wakazi wa maeneo ambayo reli inapita na zaidi sana yanaididimiza TRL. wana JF Napenda mjue kuwa TRL haiwezi kufaidika kwa ajili ya city train, train ya abiria ya kwenda Mwanza, Kigoma au Mpanda.
Hizi train zinatembea ili kutoa huduma kwa wananchi wa nchi hii. Kwa mantiki hiyo mimi sikuona kama huyu muheshimiwa sana alikuwa na sababu ya kuanza na haya mambo. Ila najua kwavile mambo haya yanagusa watanzania wLio wengi naona kaona bora ayafanye kwanza ili watu wamjue. Kakosea sana. Kama kumjua watu tulishamjua tangu enzi za sakata la richmond na anguko la Lowasa. Akiendelea kutafuta sifa zaidi anguko lake kisiasa litakuwa kubwa kuliko mtu awaye yote aliyewahi kuongoza hiyo wizara. NAWASILISHA.
mleta mada anayo hoja lakini ameshindwa kujieleza. mashirika yetu ya reli ambayo ni TRL na TAZARA yako ktk hali mbaya kifedha na ufanisi ni wa chini kabisa. utetezi kwa Mwakyembe kwasasa ni kwamba tukubaliane kwamba ameteuliwa kuongoza wizara wakati bajeti ya 2012/13 tayari imeisha andaliwa. hana fedha za kutekeleza mipango ya maendeleo zaidi ya hiyo aliyopangiwa!
Mleta mada au nawewe umekumbwa na uwajibikaji aw waziri Huyu kwa namna moja AMA nyingine namaanisha umetimuliwa Huko bandari nini?maana hakuna asiyeona kazi ya Harrison labda watu wenye walakini kma wewe
We utakua ndio wale miongoni mwa watu Mwakyembe alisema ni wadokozi TRL kama sio basi utakuwa BANDARI weweNiliposikia huyu bwana kapewa wizara ya uchukuzi nilijua kuwa sasa kumekucha. Mimi hua siku zote namchukulia huyu muheshimiwa kama mtu wa kazi miongoni mwa watu wachache wa CCM. Nilijua anataka kufufua makampuni ya uchukuzi likiwemo TRL. Nasikitika kuwaambia watanzania kuwa hayo mambo ambayo hadi sasa kayafanya hayana mchango wowote kwa maendeleo ya TRL bali kwa wakazi wa maeneo ambayo reli inapita na zaidi sana yanaididimiza TRL. wana JF Napenda mjue kuwa TRL haiwezi kufaidika kwa ajili ya city train, train ya abiria ya kwenda Mwanza, Kigoma au Mpanda.
Hizi train zinatembea ili kutoa huduma kwa wananchi wa nchi hii. Kwa mantiki hiyo mimi sikuona kama huyu muheshimiwa sana alikuwa na sababu ya kuanza na haya mambo. Ila najua kwavile mambo haya yanagusa watanzania wLio wengi naona kaona bora ayafanye kwanza ili watu wamjue. Kakosea sana. Kama kumjua watu tulishamjua tangu enzi za sakata la richmond na anguko la Lowasa. Akiendelea kutafuta sifa zaidi anguko lake kisiasa litakuwa kubwa kuliko mtu awaye yote aliyewahi kuongoza hiyo wizara. NAWASILISHA.
Nadhani akimaanisha kuwa 'huwezi panda mbegu zikaota katika shamba lililojaa magugu!' Mie nashindwa kujua ugumu wa kuunda BODI upo wapi maana haya yangefanywa na bodi tuu.Mbona hueleweki, kipi ulitaka afanye au ww unadhan iwe vp, kwani umeambiwa train ya kigoma na mpanda hazifanyi kazi? Na hujui treni ya mwanza ilokuwa imesimama kwa miaka mitatu imeanza kufanya kazi siku chache baada ya kuanza kwa city train, yawezekana una point ila kwa uliyoyaeleza umekaa kimajungu na hueleweki.
Nadhani akimaanisha kuwa 'huwezi panda mbegu zikaota katika shamba lililojaa magugu!' Mie nashindwa kujua ugumu wa kuunda BODI upo wapi maana haya yangefanywa na bodi tuu.