illegal migrant
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 1,277
- 1,121
Mh mbona sikusikii, huwa nakukubali sana katika utekelezaji sizungumzii siasa nakuomba kwa heshima na taadhima fanya ziara ya kushtukiza pale ofisi za RITA wamehamia kwenye jengo jipya zuri sana na kama sijakosea hii iko chini ya wizara yako nakuomba utembelee uone watumishi jinsi wanavyohudimia wananchi wanaokwenda kutafuta vyeti vya kuzaliwa na kifo.....kifupi ni mateso...ama kwa makusudi ama kwa sababu zingine.....Umekuwa kimya sana mheshimiwa