Mh.Mwakyembe Kuyakataa Maandiko Yake.Je! Tume Yake?

1954tanu

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
1,038
Reaction score
487
Hoja za mh.Lissu akitetea muundo wa serikali 3 zilizingatia maandiko na tafiti za Mwakyembe na wengine. Mh.Mwakyembe alikanusha hoja za T. Lissu wakati Lissu amenukuu maandiko hayo kwa sawia kabisa.

Jambo la msingi hapa ni kwamba kama mh.Mwakyembe anaweza kuyapinga machapisho yake mwenyewe,je hatuwezi kuona kwamba hata ile Tume ya Kuichunguza Kampuni ya Richmond aliyoiongoza yapaswa kuipitia upya isije ikawa na majibu kinzani?

Ni mawazo yangu tu sina ushabiki wowote.
 
Wasomi wa afrika unadidai kama huwajui? Elimu haijawahi kumkomboa mwafrika hata siku moja. Sijui bob aliposema wanapewa brainwash education to make them fooools alikua sahihi?
 
Hoja za mh.Lissu akitetea muundo wa serikali 3 zilizingatia maandiko na tafiti za Mwakyembe na wengine. Mh.Mwakyembe alikanusha hoja za T. Lissu wakati Lissu amenukuu maandiko hayo kwa sawia kabisa.

Jambo la msingi hapa ni kwamba kama mh.Mwakyembe anaweza kuyapinga machapisho yake mwenyewe,je hatuwezi kuona kwamba hata ile Tume ya Kuichunguza Kampuni ya Richmond aliyoiongoza yapaswa kuipitia upya isije

sidhani kama ni sahihi maswala yanayohusu katiba yafanyiwe reference na maswala ya tume ya Mwakyembe katika uchunguzi. wa maswala ya Richmond hii maada inataka kuleta uchochezi tu Wa mambo mengine naona tioshie hapo tu.
 
Hoja za mh.Lissu akitetea muundo wa serikali 3 zilizingatia maandiko na tafiti za Mwakyembe na wengine. Mh.Mwakyembe alikanusha hoja za T. Lissu wakati Lissu amenukuu maandiko hayo kwa sawia kabisa.

Jambo la msingi hapa ni kwamba kama mh.Mwakyembe anaweza kuyapinga machapisho yake mwenyewe,je hatuwezi kuona kwamba hata ile Tume ya Kuichunguza Kampuni ya Richmond aliyoiongoza yapaswa kuipitia upya isije ikawa na majibu kinzani?

Ni mawazo yangu tu sina ushabiki wowote.

Acha kumwandama Mwakyembe! Mbona kuna Wajumbe wa Bunge hilo hilo la Katiba wameambiwa WAMUFYATA wakarukia matusi. Unachumia Tumbo kumwandama Mwakyembe.
 
Back
Top Bottom