Usiwalaumu waKenya kwa uzembe na upuuzi wenu watanzania. This is free market era, kama hutimizi wajibu, kama hauko aggressive hakuna wa kukuonea huruma. Nyie endeleeni kutembeza mabakuli kwa wazungu badala ya kujenga uchumi na kuimarisha biashara na majirani zenu.
Tena Tz ikojitoa itakuwa imewasaidia sana majirani maana inawatesa mno, majirani zenu wanateseka sana kwa kututegemea sisi. Bandari dhaifu, reli hakuna na hivyo wanajikuta wakitumia gharama kubwa sana kufanya biashara pasipo na ulazima. Tunawasababishia bei kubwa za bidhaa kwa upuuzi wetu wa kushindwa kuwekeza kwenye reli na bandari. Hawaoni haja ya kuwa na jirani dhaifu, hakusaidii wakati wa raha, hakusaidii wakati wa shida. Kwa Rwanda, Burundi, Kongo, Zambia, Malawi wanaona Tanzania kama jirani dhaifu anayeshindwa kutumia fursa Mungu alizompa. Ukijitoa kwenye ushirikiano nao watashirikiana na nchi zingine na mambo yao yataenda. Timiza kwanza wajibu wako ndio uanze kulaumu majirani zako.
Ndugu ww ndie ulokurupuka baada ya kuona kakosea alikiri kosa akaandika COMESA, af sijui na ww uko ulimwengu gani? coz saiz hyo SADCC tuliisahau kitambo ss tuna SADC
ukishajua nimesomea nini unafaidika nini, afadhali utumbo unapitisha chakula.. tatizo lako kichwani umejazwa upepo wa pampu ya bikeHaya ndo mawazo ya Prof? hivi umesomea nini? huu ni utumbo mtupu
we're not running from a proplem, thats a way of facing it.. moving away will send effective signal to them. also its more effective for us to strengthen our position in AU rather than wasting resources and our time in a community with no hope.Do not tink of running away from da problem ( challenge), face t nd dfeat t
ukishajua nimesomea nini unafaidika nini, afadhali utumbo unapitisha chakula.. tatizo lako kichwani umejazwa upepo wa pampu ya bike
Agreed!! Malawi issue shouldnt be bothering you.. they have realised their weak position within SADC, AU and in international community.. thats why we say a greater unions such as AU and SADC are better in terms of power balance compared to EAC.. thats why they are making alliances within the intergration the end of it will all know its (EAC) is not going to last long.. we better be the early movers there is an advantage for thatYes kujitoa ndio njia nzuri ya kuwatesa hao majirani wabaya
However we need to do this carefully...considering road freight corridor to land locked countries via them, Full liberation of Congo, removal of those against 'peace call' from power....YES INDEED the unspeakable need consideration
And finally Malawi dispute needs to be put off before we pick up another fight...
Mzee Sitta angekuwepo hapa kama Prof Anna angetusaidia sana Kujibu.. Ukweli nikuwa ile wizara yake kimantiki haistaili kuwa wizara...ni mzigo wa kodi tuu wanachi wanabebeshwa ile ingekuwa mmoja ya wizara za kupunguzwa tena ingesaidia sana kuondolea serekali yetu lawama ya kuwa na wizara nyingi. maana kazi za ile wizara ilipaswa ifanywe na Wizara ya Membe kama ilikuwa na umuhimu sana tungeelewa kama ingewekewa kitengo lakini sio kupewa hadhi ya wizara.. yeye mwenyewe alikiri juzi hawakualikwa sasa hiyo si dharau kwa wizara yake.. pili hiyo wizara inaleta mwingiliano.. na wizara ya Membe..Sasa kama tuliiona EAC ni ya maana na kuiundia Wizara sasa ina kuwaje leo watu mnataka tujitoe!! Kwa jinsi inavyoonekana EAC imepewa uzito zaidi ya SADC.
By the way, kule SADC nako tuna matatizo na Malawi .............. sasa kama Malawi ikiwaalika na wakakutana bila sisi nako tutamwambia Membe apeleke form ya kujitoa.
Labda Sitta naye angeja hapa kujibu maswali kama Prof. Tibaijuka ingekuwa poa sana. Lakini inawezekana anaogopa kuulizwa ile office ya Spika jimboni kwake!!
Hivi wewe unatumia miguu kufikiria?yaani sijaona mtu mpuuzi kama wewe ambaye wanakuita prof (sijui mganga wa kienyeji),FYI hao SADCC hawafikii hata 10% ya trading btn TZ and EA African states,leo unataka kutupa 90% for 10% ndio maana nakuita huna akili wewe ni siasa tuu na kujifanya unajua kumbe hujui chochoteAgreed!! Malawi issue shouldnt be bothering you.. they have realised their weak position within SADC, AU and in international community.. thats why we say a greater unions such as AU and SADC are better in terms of power balance compared to EAC.. thats why they are making alliances within the intergration the end of it will all know its (EAC) is not going to last long.. we better be the early movers there is an advantage for that
wao wameshaanza kututenga hata kibiashara.. hatuna haja sana ya kuwalilia.. pengine tukijitoa ndio biashara zitaongezeka zaidi maana tutaheshimiana kama majirani.. sipingi ushirikiano nachopinga ni huu Umoja. hauna manufaa.. hayo manufaa tunayoangalia hapo tunaweza yapata AU maana wote sisi ni washirika wa AU. unafikiri umoja wa afrika mashariki ukifa mipaka itafungwa hapana, huko ni kuwa na fikra finyu. Biashara zitaendelea, watu wataendelea kushirikiana nao kama kawaida. tafauti tuu ni kuwa hatutakuwa na huo ushirika wa kinafiki. na Kiuchumi itaipa TZ uhuru zaidi wa kufanya sera zake ambazo zinaweza zikavutia biashara kubwa zaidi kuliko hiyo inayolelewa na hao.. tunaweza tukafanya uchumi wetu kuwa smaku ya kunasa investement zao zote kuja afrika maana siku izi watu wanaaangalia kwenye rotuba.. sio tuu wanafanya biashara kiholela holelaWatu hamna data mnapiga kelele tuu kwa story za vijiweni,eti abandon EAC? for what reasons,so mnataka kufanya business na nani?hamna idea TZ is making billions kutokana na hao majirani na leo mkisimamisha uhusiano nao losers ni nyie sio wao,angalia balance of trade btn TZ na Kenya hivi mnajua TZ wana export in billions more kuliko wanavyo import from Kenya which is positive to Tanzania,capital inflow kutoka Kenya ni one of top 3 ila mnachoangalia tuu ni wakenya wanachukua kazi zetu na hao western investors and Chinese capital yao ni kwenye natural resources tuu na hawalipi kodi hata moja zaidi ya kuchukua depreciation,free VAT ya kila kitu wanachoingiza,zile mining zote wanaingiza millions of gallons of oil,diesel na capital goods nyingine na hawalipi VAT lakini nyie mnalipa hilo hamuoni na hamjui,then leo eti funga uhusiano na hawa cross borders wakati millions of citizen wanategemea trading btn these borders to survive...hamna akili nyie!!!
toa tanganyika..wacah kutusemea sisi wzanzibari... hatuwapendi vichogo kamanini.. wacha kusema kwa behalf zetu... toa tanganyika yako sio tanzania
Hakuna mtu amekutenga nenda borders hata leo maelfu ya watu and goods criss crossing 24/7 na serikali inachukua chake and everybody happy,mnayoongea hapa is just fantasy and politics,and the only thing we need is more cooperations na hawa majirani sio kufungiana mipaka or kukomoana kwa kuongezeana kodi,kuwekeana ugumu wa kuingia nchi nyingine etcwao wameshaanza kututenga hata kibiashara.. hatuna haja sana ya kuwalilia.. pengine tukijitoa ndio biashara zitaongezeka zaidi maana tutaheshimiana kama majirani.. sipingi ushirikiano nachopinga ni huu Umoja. hauna manufaa.. hayo manufaa tunayoangalia hapo tunaweza yapata AU maana wote sisi ni washirika wa AU. unafikiri umoja wa afrika mashariki ukifa mipaka itafungwa hapana, huko ni kuwa na fikra finyu. Biashara zitaendelea, watu wataendelea kushirikiana nao kama kawaida. tafauti tuu ni kuwa hatutakuwa na huo ushirika wa kinafiki. na Kiuchumi itaipa TZ uhuru zaidi wa kufanya sera zake ambazo zinaweza zikavutia biashara kubwa zaidi kuliko hiyo inayolelewa na hao.. tunaweza tukafanya uchumi wetu kuwa smaku ya kunasa investement zao zote kuja afrika maana siku izi watu wanaaangalia kwenye rotuba.. sio tuu wanafanya biashara kiholela holela
Mbona mzee unakuwa mgumu kuelewa, hatujasema tunasitisha biashara na wao.. na sio kwamba hatutaki biashara nao tunachotaka ni ushirikiano imara, wenye nia na dhamira ya kweli kama hamna nia na dhamira kwanini tuendelee na EAC kama intitution.. kuwa EAC kama institution hakumaanishi ksuitisha biashara nao, hakumaanishi kupandisha kodi, hakumaanishi kufukuzana, hakumaanishi kusitisha maongezi nao.. chochote kitakachotokea baada ya hapo itategemeana na sera zetu. inachomaanisha ni kuwa hatupendi unafiki. ndio tunaongea politics maana hili ni jukwaa la politics.. tunataka siasa safi.. ni muhimili wa hayo maendeleo ya kiuchumi unayoongelea.Hakuna mtu amekutenga nenda borders hata leo maelfu ya watu and goods criss crossing 24/7 na serikali inachukua chake and everybody happy,mnayoongea hapa is just fantasy and politics,and the only thing we need is more cooperations na hawa majirani sio kufungiana mipaka or kukomoana kwa kuongezeana kodi,kuwekeana ugumu wa kuingia nchi nyingine etc