Makamanda wananchi wapo kwa wingi wakisubiri viongozi kufika na tutawaletea updates za mkutano huu ikijumuisha na picha ila kwa sasa Tannesco wamezima umeme nahisi ni hujuma lakini makamanda wamewasha generator
View attachment 107918 View attachment 107920 View attachment 107921 View attachment 107922 View attachment 107923
Wakuu hizi picha ni wananchi wa Igunga waliojitokeza leo kwa ajili ya Mkutano juu ya maoni ya katiba mpya ambao ulipangwa kuhutubiwa na Waheshimiwa Mbowe, Lisu na Mnyika lakini kwa sababu hambazo hazikuzuilika mkutano huu umeahirishwa hadi hapo kesho, kwa hiyo tunaomba radhi tuwasiliane kesho kwa Update zaidi poleni makamanda.