Leo kunatarajiwa kufanyika mkutano mkubwa Igunga utakao hutubiwa na viongozi hao mada kuu ni maoni ya katiba mpya, tutawajuza kila kitakachojiri.

makamanda wananchi wapo kwa wingi wakisubiri viongozi kufika na tutawaletea updates za mkutano huu ikijumuisha na picha ila kwa sasa tannesco wamezima umeme nahisi ni hujuma lakini makamanda wamewasha generator
Makamanda wananchi wapo kwa wingi wakisubiri viongozi kufika na tutawaletea updates za mkutano huu ikijumuisha na picha ila kwa sasa Tannesco wamezima umeme nahisi ni hujuma lakini makamanda wamewasha generator

Heko Chadema.