Mh. Mbowe kuhutubia mkutano mkubwa leo Mbeya

Mjuni Lwambo

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2012
Posts
11,718
Reaction score
13,423
Kamanda wa anga na mwenyekiti wa CHADEMA Taifa mheshimiwa Freeman Alkael Mbowe, muda mfupi kuanzia hivi sasa atahutubia mkutano mkubwa katika viwanja vya Dr slaa(mama John) jijini Mbeya. Atakuwepo pia mbunge wa Iringa Rev Peter Msigwa, mbunge wa kawe Mh. Halima James Mdee, mbunge wa mbozi Mh David Silinde(sauti ya simba), Mh. sugu na wabunge wengine wengi wa CHADEMA,

Kwa aliyeko Mbeya tunaomba updates.
 
Mtu aliye kwenye viwanja vya Dr slaa anadai watu wameanza kumiminika hapo kutoka pande zote za mji, toka majira ya saa saba, inasemekana Central polisi RPC kaitisha mkutano wa ghafla na watu wa chini yake ili wajipange 'kulinda amani' eneo la tukio
 
Tunashukuru kwa updates wakuu,tunafuatilia kwa ukaribu zaidi
kama kuna picha mtumwagie hapa,viva chdm
 
Mtu aliye kwenye viwanja vya Dr slaa anadai watu wameanza kumiminika hapo kutoka pande zote za mji, toka majira ya saa saba, inasemekana Central polisi RPC kaitisha mkutano wa ghafla na watu wa chini yake ili wajipange 'kulinda amani' eneo la tukio
Walinde amani, sio kuanzisha vurugu.
 
Kamanda wa anga na mwenyekiti wa CHADEMA Taifa mheshimiwa Freeman Alkael Mbowe, muda mfupi kuanzia hivi sasa atahutubia mkutano mkubwa katika viwanja vya Dr slaa(mama John) jijini Mbeya. Atakuwepo pia mbunge wa Iringa Rev Peter Msigwa, mbunge wa kawe Mh. Halima James Mdee, mbunge wa mbozi Mh David Silinde(sauti ya simba), Mh. sugu na wabunge wengine wengi wa CHADEMA,

Kwa aliyeko Mbeya tunaomba updates.

Yeah - Lakini - Kuna Mvua inaendelea kunyesha hapa jijini Mbeya (CCM waloga)! -
 
Walinde amani, sio kuanzisha vurugu.

Inategemea wameagizwa nini, si unajua Polisi mambo yanakwenda kwa Amri tu....ukiambiwa mlipue Mwandishi wa habari ni lazima utii amri, ukiambiwa mchape risasi muuza magazeti kwasababu kavaa Tshirt kama za Chadema lazima utii amri......Ukiambiwa usimguse Shehe Ilunga kwasababu anapigania dini yake na ya Rais wa nchi lazima utii amri tu.
 
Mtu aliye kwenye viwanja vya Dr slaa anadai watu wameanza kumiminika hapo kutoka pande zote za mji, toka majira ya saa saba, inasemekana Central polisi RPC kaitisha mkutano wa ghafla na watu wa chini yake ili wajipange 'kulinda amani' eneo la tukio
Makamanda sasa hivi wapo katikati ya jiji maeneo ya mafiati wakija kwa maandamano.
 
Safi sana makamanda!! tuwekeeni na picha za jiji jipya pamoja na za kwenye mkutano, maneno matupu hayavunji mfupa
 
Kamanda wa anga na mwenyekiti wa CHADEMA Taifa mheshimiwa Freeman Alkael Mbowe, muda mfupi kuanzia hivi sasa atahutubia mkutano mkubwa katika viwanja vya Dr slaa(mama John) jijini Mbeya. Atakuwepo pia mbunge wa Iringa Rev Peter Msigwa, mbunge wa kawe Mh. Halima James Mdee, mbunge wa mbozi Mh David Silinde(sauti ya simba), Mh. sugu na wabunge wengine wengi wa CHADEMA,

Kwa aliyeko Mbeya tunaomba updates.

Waliopo field jamani waturushie pics ni muhimu sana
 
Safi sana. Dr Kikwete naye apange siku ya kufanya mkutano wake huko na timu yake ya kina Mwampamba aone kama kanunua watu wa kumsaidia au la.
 
makamanda wanakaribia kuingia viwanjani, barabara hii highway ya Dar-Zambia imejamu, hapapitiki tena magari yamesimama.
 
Back
Top Bottom