assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
Mtei ndiye aliyemweka Mbowe madarakani, na ndiye mwenye mamlaka ya kumtoa hapo!
Mtei ndiye aliyemweka Mbowe madarakani, na ndiye mwenye mamlaka ya kumtoa hapo!
Badilisheni technique za kuikabili CHADEMA hii imebuma.Ni ushauri tu lakini
Ngojeni amtoe basi mbona mnapata shida sana?Mtei ndiye aliyemweka Mbowe madarakani, na ndiye mwenye mamlaka ya kumtoa hapo!
ni ushauri wa bure kwa mh.kusoma alama za nyakati na kungatuka km alivowah fanya mwl nyerere. ni wazi sasa kunakelele myingi juu ya mwenyekiti kufanya"anything" at any cost ili aendelee kubaki km mwenyekiti. ni wakati ss mh kusoma alama za nyakati
Nitamsifu sn akipokea ushauri huo
Nimekusoma mkuu m/kiti mwenyewe yupo tengeru na huyu tunaemuona ni mbeba koti.
Mtei ndiye aliyemweka Mbowe madarakani, na ndiye mwenye mamlaka ya kumtoa hapo!
Zitto yuko wapi? Msalani?!dah kwaio ni mtei and co.
mbowe ameshasoma alama za nyakati kuwa anahitajika sana kuendelea kuongoza mapambano ya mwisho ya kumng'oa nduli of our times aitwaye ccm!!!
chadema ni baba na mama yangu mpaka kufa
Sisi wajumbe wa Baraza Kuu la CHADEMA kutoka Mkoa wa Pwani tunaamini kuwa Viongozi wetu ni shupavu na wana weledi mkubwa katika masuala ya uongozi. Ndani ya uongozi wao CHADEMA imeweza kusambaa nchi nzima na kuwa na wanachama katika Mikoa, Wilaya, Tarafa, Kata, Vijiji, Mitaa na Vitongoji, tumeongeza idadi ya wabunge kutoka 4 na madiwani 42 mwaka 1995 hadi wabunge 5 na madiwani 74 mwaka 2000, na kutoka wabunge 5 na madiwani 74 hadi wabunge 11 na madiwani 102 mwaka 2005, na kutoka wabunge 11 na madiwani 102 hadi kufikia wabunge 49 na madiwani 520 huku tukiongoza halmashauri kadhaa mwaka 2010. Kwa ubunifu wa viongozi wanaoitwa wameshindwa kazi, tumeanzisha program ya CHADEMA ni Msingi ambayo inakipelekea chama kuwa na mtandao mkubwa na kuweza kukabiliana na hila za CCM mpaka kwenye mizizi. LUMBWA MSALANIni ushauri wa bure kwa mh.kusoma alama za nyakati na kungatuka km alivowah fanya mwl nyerere. ni wazi sasa kunakelele myingi juu ya mwenyekiti kufanya"anything" at any cost ili aendelee kubaki km mwenyekiti. ni wakati ss mh kusoma alama za nyakati
kumbe Dr kitila mkumbo ni mheshimiwa???Mheshimiwa Dr. Kitila Mkumbo, naomba utuletee katiba ya chama cha waasi ACT ili tuichambue kwa pamoja.
kumbe Dr kitila mkumbo ni mheshimiwa???