Mh. Mbassa (CHADEMA) ashinda kesi jimbo la Biharamulo Magharibi

Mh. Mbassa (CHADEMA) ashinda kesi jimbo la Biharamulo Magharibi

Mdau inabidi ufunguke zaidi. Siyo wote tunamjua huyo Oscar. Ni wapi huko?
 
CHADEMA wapata ushindi wa pili baada ya kesi ya kupinga matokeo iliyokuwa imefunguliwa na bwana Oscar Mukasa kutupiliwa mbali.

PEOPLE'S POWER
Kesi ya wapi hiyo mkuu siyo kila mtu anamjua Oscar Mukasa
 
People's Power, CDM yaibwaga CCM tena huko BIHARAMULO, baada ya madai yote nane kukosa mshiko!
 
kesi ya kupinga m
atokeo???!!!
Iliyofunguliwa na bw Oscar Mukasa!?!?
 
Biharamulo
Mkuu leo kulikuwa na hukumu mbili!
Pole na majukumu naona saa hizi ndo unachengulia jf!!
CHADEMA wapata ushindi wa pili baada ya kesi ya kupinga matokeo iliyokuwa imefunguliwa na bwana Oscar Mukasa kutupiliwa mbali.

PEOPLE'S POWER
Kesi ya wapi hiyo mkuu siyo kila mtu anamjua Oscar Mukasa
 
Oscar Mukasa alikuwa mgombea ya Biharamulo, ailipinga ushindi wa Dr. Mbasa, wa CHADEMA, na sasa ameshindwa, amakweli kisichokuwa riziki akiliki.
 
kesi za kuamua usiku hizi hazisminiki. mchana wote mlikuwa wapi?
 
Back
Top Bottom