MotoYaMbongo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2008
- 2,146
- 887
Umeyakuta madudu mengi sana sekta ya elimu katika ziara yako, moja ni ucheleweshaji wa kupanda vyeo walimu na kutozingatia uzoefu kazini-Seniority, pia walimu kutozwa pesa za vitambulisho na Afisa utumishi malaya na fisadi aitwae Maganga tena vitambulisho vinatolewa mtaani (stationary) kwa Bulole, na matusi kutukanwa Bomani walimu wanapoenda kuhitaji huduma, Mheshimiwa naibu waziri, ili walimu wa Urambo wawe na imani na wewe chukua hatua na uache kulinda mtu, kumbukeni Serikali ya CCM imeshapoteza mvuto sasa jaribuni angalau kurekebisha hata machache. Walimu wameshachoka kunyanyaswa na watendaji wabovu. Usipochukua hatua stahiki basi na wewe utakuwa kundi hilo hilo la wababaishaji na walinda waovu.
Hakuna lolote atakaloweza kulifanya huyo Majaliwa kwani aliwahi kuwa mkuu wa wilaya hiyo sio muda mrefu uliopita na hayo matatizo yalikuwepo; na hakuona umuhimu wa kuyashughulikia. Huyo Bulole wanashirikiana naye kula hizo fedha za vitambulisho na wakubwa; na DED anajua kwani kamuachia saini yake na ukiitaka saini ya DED Urambo utaipata kwa Bulole any time. Mpango mzima unajulikana kitambo na huyo Majaliwa anaujua fika so don't expect any miracle from him.
Umeyakuta madudu mengi sana sekta ya elimu katika ziara yako, moja ni ucheleweshaji wa kupanda vyeo walimu na kutozingatia uzoefu kazini-Seniority, pia walimu kutozwa pesa za vitambulisho na Afisa utumishi aitwae Maganga tena vitambulisho vinatolewa mtaani (stationary) kwa Bulole, na matusi kutukanwa Bomani walimu wanapoenda kuhitaji huduma, Mheshimiwa naibu waziri, ili walimu wa Urambo wawe na imani na wewe chukua hatua na uache kulinda mtu, kumbukeni Serikali ya CCM imeshapoteza mvuto sasa jaribuni angalau kurekebisha hata machache.
Walimu wameshachoka kunyanyaswa na watendaji wabovu. Usipochukua hatua stahiki basi na wewe utakuwa kundi hilo hilo la wababaishaji na walinda waovu.