Mh Magufuli: I will deal with them; wala siwatishi

Nibozali

JF-Expert Member
Oct 15, 2016
572
1,055
Aliyasema hayo wakati akimpongeza spika kwa kuwadhibiti wabunge wanaoleta vurugu bungeni

Video hii hapa chini!

Una maoni gani?
 

Attachments

  • VID-20170911-WA0000.mp4
    875.4 KB · Views: 56
Huyu Mtu anaifananisha Tanzania na Rwanda....

Kwanza Rwanda n nchi ndogo sana ni kama mkoa wa Kagera kwa ukubwa,

Kagame aliwahi kuwatawala wanyarwanda mapema sana kabla jogoo halijawika....

Huyu anataka kuwa kama Kagame wakati hawezi kuwa kama Kagame.....

Kwanza,Tanzania n Nchi kubwa sana je ata-deal na wangap???? atawamaliza lini????

Huyu anachotaka kufanya ni kitu ambacho hakiwezekan kabisa,angetaka kuwatawala watanzania kirahisi angetawala baada ya Mwl Nyerere kutoka madarakani na siyo watanzania wa Leo....
 
Wasaliti wa nchi, watetea mafisadi wapigwe tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumeongea JF watu waliojoin 2017 hawana focus wala kujua kuwa hili ni jukwaa la great thinkers. You are dealing with people who are focused so please think before you jot or just let it pass. You wont loose anything if you say nothing because it will come to haunt you when members start pounding on you.
 
Back
Top Bottom