N Njema kabisa JF-Expert Member Joined May 25, 2015 Posts 699 Reaction score 238 Nov 13, 2015 #21 Zogwale said: Lowassa anawatekenya sana siyo? Huyo ndiyo Rais wa mioyo ya watanzania. Linajulikana wazi. UKAWA wanajipanga subirini tu. Click to expand... Nataman iwe kwel usemacho tushasubr tamko hatujackia tumechoka kusubir
Zogwale said: Lowassa anawatekenya sana siyo? Huyo ndiyo Rais wa mioyo ya watanzania. Linajulikana wazi. UKAWA wanajipanga subirini tu. Click to expand... Nataman iwe kwel usemacho tushasubr tamko hatujackia tumechoka kusubir
A aiai654 JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 3,857 Reaction score 1,265 Nov 13, 2015 #22 Zogwale said: Lowassa anawatekenya sana siyo? Huyo ndiyo Rais wa mioyo ya watanzania. Linajulikana wazi. UKAWA wanajipanga subirini tu. Click to expand... Asante Zogwale
Zogwale said: Lowassa anawatekenya sana siyo? Huyo ndiyo Rais wa mioyo ya watanzania. Linajulikana wazi. UKAWA wanajipanga subirini tu. Click to expand... Asante Zogwale
Zogwale JF-Expert Member Joined Jul 10, 2008 Posts 15,295 Reaction score 10,963 Nov 14, 2015 #23 Rohombaya said: Khaa!! Labda rais wa mioyoni mwa nyumbu na wapiga dili. Rais wa mioyoni mwa wazalendo wa nchi hii ni DR W SLAA Click to expand... Saliti hili chukua kaliweke kwake. Kwa miaka yote amekuwa upinzani hakuwahi kuleta ufanisi na wabunge kama mwaka 2015. Tena angegombea saliti doctor la Mihongo angeishia kuchimba mihogo tu.
Rohombaya said: Khaa!! Labda rais wa mioyoni mwa nyumbu na wapiga dili. Rais wa mioyoni mwa wazalendo wa nchi hii ni DR W SLAA Click to expand... Saliti hili chukua kaliweke kwake. Kwa miaka yote amekuwa upinzani hakuwahi kuleta ufanisi na wabunge kama mwaka 2015. Tena angegombea saliti doctor la Mihongo angeishia kuchimba mihogo tu.