Mh Lowassa, Umejitoa au Mbinafsi?

Mh Lowassa, Umejitoa au Mbinafsi?

Khaa!! Labda rais wa mioyoni mwa nyumbu na wapiga dili. Rais wa mioyoni mwa wazalendo wa nchi hii ni DR W SLAA
Saliti hili chukua kaliweke kwake. Kwa miaka yote amekuwa upinzani hakuwahi kuleta ufanisi na wabunge kama mwaka 2015. Tena angegombea saliti doctor la Mihongo angeishia kuchimba mihogo tu.
 
Back
Top Bottom