Kampeni manager mkenya!
Kikosi cha propaganda kutoka korea
Strategist kutoka Angola!
Walinzi kutoka israel!
Maombi kutoka Nigeria!
Halafu kuna mijitu inafikiria huyu alikuwa analitakia mema taifa!!!
Swali lina pande mbili hilo ndugu yangu. Moja ni msaliti au aliyejitoa. Soma vizuri kilichoandikwa.HUJAELEWEKA MLETA MADA!!! Unapouliza swali la ubinafsi kwa lowassa kweny social media huwez pata jibu...muulize hapo edward.lowassa1@gmail.com!! Unaposema sema kaiachia fmilia yake dhana ya usaliti are you his son or daughter?? What gives u the right to speak for them??? Inaweza KUA MSALITI KWAKO NA CCM BUT THIS MAN IS A HERO TO OTHERS!!! Kawapa ujasiri watu weng sana na wapo waliojifunza mengi from him!! Lowassa ni mtu wa familia na wangekua hawamsupport wangesema mbona wa kingunge aliongea wa lowassa hwana midomo??? Kuhama chama na kua chadema ndo usaliti??? ALIVYOHAMA C MLISEMA MNASHUKURU MZIGO UMEONDOKA ASA HUO USALITI WA NN TENA??? Na mpk sshv cdhan hata kuna mjukuu wake anaejutia lowassa kuhama ccm kwa uozo mlinao kiddos will be like "grandpa what didn't u leave sooner?? And m sure u oldy knw this huwez pendwa na kila mtu na usipompenda ww haina maana wenzio hawamtak!! YOU ARE EITHER WITH HIM OR NOT BUT IF U AREN'T WITH HIM SO WHAT??? And for the record this man has more friends than haters!!!!!!!!!!!!!!!!!!! M afraid I can't say the same kwa mtu wenu!!!!!
Swali lina pande mbili hilo ndugu yangu. Moja ni msaliti au aliyejitoa. Soma vizuri kilichoandikwa.
Sasa aliyekwambia lowasa na watoto wake wana njaa ni nani
Pesa alizo hata asifanye kitu chochote anatumia mpaka vitukuu vyake bila kufilisika
Ndio maana sentensi ya mwisho nimeiacha wazi kwa watu kutoa maneno mie sijatoa hitimishoKutoka ccm au kuingia ccm nani anakuwa msaliti? Au wewe kwako ccm ndiyo Tanzania? Nadhani ni wasaa sasa watanzania wajitambue kuwa sote tuko kwa ajili ya Tanzania na si vyama vyetu. Lowassa yuko sahihi kabisa na kwangu ni mzalendo
Kwenye forum hakuna majibu bali hoja na kila mtu anachambua linalofaa. Kuna tatizo mgombea Urais na mtumishi aliyetukuka wa nchi yetu kujadiliwa?My point is hutapata jibu la kuridhisha hapa..labda kama lengo lilkua ni kumdiscuss EL ila kama unatafuta jibu la kweli ni yy tu anaweza kukupa!!! Pili swali lako ndo majibu utayopata humu ndani wengine watakuambia msaliti na wengine watasema amejitoa mhanga so at the end of day utakua hujapata jibu!!!
Khaa!! Makavu Live.. Mwacheni mzee apumzike bana 😎Kampeni manager mkenya!
Kikosi cha propaganda kutoka korea
Strategist kutoka Angola!
Walinzi kutoka israel!
Maombi kutoka Nigeria!
Halafu kuna mijitu inafikiria huyu alikuwa analitakia mema taifa!!!
Kampeni manager mkenya!
Kikosi cha propaganda kutoka korea
Strategist kutoka Angola!
Walinzi kutoka israel!
Maombi kutoka Nigeria!
Halafu kuna mijitu inafikiria huyu alikuwa analitakia mema taifa!!!
Khaa!! Labda rais wa mioyoni mwa nyumbu na wapiga dili. Rais wa mioyoni mwa wazalendo wa nchi hii ni DR W SLAALowassa anawatekenya sana siyo? Huyo ndiyo Rais wa mioyo ya watanzania. Linajulikana wazi. UKAWA wanajipanga subirini tu.