Mh Lowassa maisha yako yote umekuwa kwenye CCM. Lakini mwaka huu, ukahamia rasmi CHADEMA na kuwa mgombea wa UKAWA. Walikufuata wengi ikiwa ni pamoja na marafiki, ndugu na familia yako.
Ukweli kwa umri wako wengine waliopo katika nyadhifa fulani huamua kupumzika na kula mafao. Inawezekana wewe uliona nchi inapoelekea hapafai na ukajiona umechoshwa na mfumo wa "CCM ni ile ile". Ukajilipua.
Kujilipua kwako hakutakuwa na madhara yoyote kwako maana umemaliza utumishi kwa kiasi fulani. Lakini kujilipua wakati huu kwa namna moja au nyingine ni kukiachia kizazi chako dhana ya usaliti tofauti na ya Sokoine mchapakazi.
Swali hasa; wewe ni mbinafsi ambaye ulijali maslahi yako peke yako bila kujali kizazi chako au wewe ni muhanga ambaye ulitaka Watanzania wanufaike na utajiri wa Taifa lao?