Ujinga na ufukara ni very expensive !! Ona picha mbalimbali ya vizee havina viatu, miguu imepauka na ina nyufa kama mibuyu, macho yameingia ndani kwa njaa na utapia mlo kama vyura wa kihansi lkn wamevikwa kofia na skafu za kijani na njano na wanakenua mapengo kumshangilia Nepi akiimba au kupiga ngoma !!! Baada ya hapo, wananunuliwa pipa za gongo na wanaimba sisiem pambalama....sisiem pambalama kocholeli ssm ehhh kocheleli ssm pambalamaa...
Sijui Watanzania nani amewaroga aisee! Yaani mtu aliyefukuzwa uwaziri mkuu kwa ufisadi wa Richmond bado anashabikiwa awe raisi mtarajiwa. Nyie hamjifunzi jinsi Julius Ngalema yule aliyesema we will kill for Zuma alipoona alichemsha kufanya kampeni kwa ajili ya Zuma