Mh; lowasa atangaza ushindi makuyuni sku mbili kabla

Ujinga na ufukara ni very expensive !! Ona picha mbalimbali ya vizee havina viatu, miguu imepauka na ina nyufa kama mibuyu, macho yameingia ndani kwa njaa na utapia mlo kama vyura wa kihansi lkn wamevikwa kofia na skafu za kijani na njano na wanakenua mapengo kumshangilia Nepi akiimba au kupiga ngoma !!! Baada ya hapo, wananunuliwa pipa za gongo na wanaimba sisiem pambalama....sisiem pambalama kocholeli ssm ehhh kocheleli ssm pambalamaa...

Sijui Watanzania nani amewaroga aisee! Yaani mtu aliyefukuzwa uwaziri mkuu kwa ufisadi wa Richmond bado anashabikiwa awe raisi mtarajiwa. Nyie hamjifunzi jinsi Julius Ngalema yule aliyesema we will kill for Zuma alipoona alichemsha kufanya kampeni kwa ajili ya Zuma
 
Mheshimiwa Edward lowasa na rais mtarajiwa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amemalza kampen za udiwan katka kata ya makuyuni katka ngome yake kuu ya jimbo la makuyuni na ameanza ziara mjini moshi leo kwa kazi zake za kiofsi na kuacha vijana wakimalizia/wakfunga kampeni hii inaonyesha nguvu kubwa aliyonayo lowasa monduli,arusha na Tanzania kwa ujumla...kweli lowasa ni mtaalam wa siasa za kileleni/kitaifa ....

Politics .
 
Nimeona nassary ameshika majina ya watu waliouza shahada zao .... cjui hapo tume ya uchaguzi vipi
 
Mheshimiwa Edward lowasa na rais mtarajiwa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amemalza kampen za udiwan katka kata ya makuyuni katka ngome yake kuu ya jimbo la makuyuni na ameanza ziara mjini moshi leo kwa kazi zake za kiofsi na kuacha vijana wakimalizia/wakfunga kampeni hii inaonyesha nguvu kubwa aliyonayo lowasa monduli,arusha na Tanzania kwa ujumla...kweli lowasa ni mtaalam wa siasa za kileleni/kitaifa ....

Mungu aepushie mbali laana hii!! Hatunawatu waaminifu nchi hii kabisa hadi fisadi kabisa awe raisi wetu!! Ptu!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom